Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Duh sikujua Denmark ina kikosi imara hivyo...... Hakina majina sana ila kwa wafuatiliaji wa soka mtaelewa kina tactical players wengi sana nakitabiria kufika mbali sana ntakuja kufufua post yangu hii mwezi ujao
 
Hahah ila Belgium umewaona mkuu?
 
Nawapenda sana Senegal ila safari hii nitawazamini Nigeria wakitoka waafrika wote narudi Ureno japo naomba tuingie hata nusu fainali
 
Mara nyingi mpira huamuliwa sana na safu nzuri ya kiungo. Kama hauna viungo wazuri ni ngumu sana kutawala mchezo.

Kuelekea World cup ya 2018, timu ipi unadhani ina safu nzuri ya kiungo na inaweza ikafanya vyema katika michuano hiyo.

Mimi naanza na hawa Belgium, kuna Radja Naingolan, Alex Witsel, Fellaini, Mousa Dembele na talisman Kevin De Bruyne. Ni viungo ambao wanafanya timu ibalansi vyema.

Kuna mtengeneza nafasi KDB, halafu kuna mkabaji mwenye nguvu ambaye ni Naingolan, halafu kuna Dembele ambaye ni box to box midfielder, anaweza kuzuia na kushambulia pia. Hapo Witsel na Fellaini sijawagusa.Naamini kiungo cha Belgium kitaibeba sana timu yao.

Karibu na wewe uendelee...
 
Sijaona Kiungo ya kubishana na Spain ya BUSQUETS,ALCANTARA,KOKE,SAUL,INESTA,SILVA,RODRIGO HERNANDEZ, ISCO,
Sijaona Kiungo wa kubishana na hao jamaa dimbani
 
BRAZIL
Fernandinho
Willian
Casemiro
Fred
Paulinho
Renato Agusto
Coutinho.
Hao BELGIUM Tatizo lao ni utoto mwingi.. Hawana tofauti sana na FRANCE.
TIMU TATU NDIO ZIPO MAKINI NAZO NI.. SPAIN , GERMANY , BRAZIL.
 
Mi nashangaa sana, sijui kwanini nashindwa kuacha kuishabikia england
 
France ndo timu pekee yenye viungo mahiri..mafundi wa mpira
 
Uzi huu ni maalumu kwa wapenzi wa timu ya taifa ya Brazil katika kombe la dunia huko Urusi linalotarajiwa kuanza katikati ya mwezi ujao.
=
Karibuni "Brazil Fans"...
 
Uzi huu ni maalumu kwa wapenzi wa timu ya taifa ya Brazil katika kombe la dunia huko Urusi linalotarajiwa kuanza katikati ya mwezi ujao.
=
Karibuni "Brazil Fans"...
kombe tushachukua ilo ina inabidi aaanze firmino na sio miguu ya glass jesus
 
Back
Top Bottom