Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Huyu Costa alitakiwa apewe bench kitambo tu
 
Kqbla ya yote kwa kuwa JF imerudi leo, nitoe salamu zangu za pole kwa Ronaldo na Messi baada ya timu zao kuondolewa katika world cup.

Pia nikiwa kama shabiki kindakindaki nimesononeka sana kwa kuondolewa kwa Ujerumani mapema sana kinyume na matarajio ya wengi.

Wadau wa soka tunafurahi kwa JF kurudi kwa kishindo.
 
Spain wako kwenye mgomo nini?Mpira mlipcheza na Ureno game ya kwanza siuoni[emoji35][emoji35]
 
Mfahamu KYLIAN (AMBAKISYE) ASUMWIKE MPEPE almaarufu MBAPPE ni kijana wa Kitanzania aliyezaliwa huko Ufaransa.
Mbappe ni mchezaji wa kimataifa wa timu ya Ufaransa.
Baba yake mzazi anatokea kitongoji cha Itebe katika kijiji cha Ikubo huko Mwakaleli-Busokelo(zamani Rungwe Mashariki)

Mr. Asumwike Mpepe Mwalugelo ni Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake na watoto, alikwenda nchini Ufaransa mwaka 1995 kufanya kazi katika taasisi ya Afya ya Ufaransa.
Alikutana na mwanamke mwenye asili ya Algeria anayeitwa FAYZA mwaka 1997 na kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na walioana January 2 mwaka 1998 huko PARIS.
Tarehe 20 December walibahatika kupata mtoto wa kiume waliyempa jina la KYLIAN lakini Baba yake akampa jina la Kinyakyusa AMBAKISYE.

Huyu ndio KYLIAN MBAPPE kijana wa Kitanzania aliyepeleka kilioa huko mjini Buenos Aires, Argentina!

WANYAKYUSA ACHENI UBISHI.
 
Mourinho atakuwa yupo nyuma ya hapa jamaa wa russia,akiwapenyezea maagizo..
 
Kqbla ya yote kwa kuwa JF imerudi leo, nitoe salamu zangu za pole kwa Ronaldo na Messi baada ya timu zao kuondolewa katika world cup.

Pia nikiwa kama shabiki kindakindaki nimesononeka sana kwa kuondolewa kwa Ujerumani mapema sana kinyume na matarajio ya wengi.

Wadau wa soka tunafurahi kwa JF kurudi kwa kishindo.
Pamoja sana
 
Sasa kutoka nusu uwanja mpaka robo uwanja.
 
Nataman sana Spain waondolewe....game yao na Maroc walitembea na mpunga wng mrefu sana....wasepeahwe kwenye matuta
 
Back
Top Bottom