Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kuna michezo mingine ni kukomoa na kuaibishana, mfano ni kama Korea Kusini ilivyomtoa Mjerumani bila kutarajia.

Sijui nguvu huwa wanazitoa wapi, na hii mechi inaweza kuwa miongoni mwao
hahahahaha! hawa jamaa wanajua kabisa mnawadharau hivyo wanacheza kwa moyo wote kabisa.

Nafiri ulimuona kipa wa JAPAN alivyoruka kumzuia kompany alipotaka kupiga kichwa.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sisimizi kuua temboo!!

Ila South Korea alichomfanya mjerumani Mungu anamuona nilifurahi siku ile Germany toka ampige brazuka 7 sina hamu nae!
 
hahahahaha! hawa jamaa wanajua kabisa mnawadharau hivyo wanacheza kwa moyo wote kabisa.

Nafiri ulimuona kipa wa JAPAN alivyoruka kumzuia kompany alipotaka kupiga kichwa.
Kweli mkuu, timu ambayo inajua kabisa haifiki popote ikiamua kukuharibia linawezakana tu
 
Back
Top Bottom