Jiwe_Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 416
- 807
Nashukuru kwa hii sentensi mkuu maana naona mwanzo mliwabeza.Wajapan wanajitahidi, lolote laweza kutokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa hii sentensi mkuu maana naona mwanzo mliwabeza.Wajapan wanajitahidi, lolote laweza kutokea
Mzito sana Lukaku.Aliyesimama na lukaku leo anafanya kazi kubwa sana.
Unafikiri mkuu hawa jamaa wana kelele sana hapo walipofika tu ni balaa jaribu kufuatilia vyonmbo vyao vya habari.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna michezo mingine ni kukomoa na kuaibishana, mfano ni kama Korea Kusini ilivyomtoa Mjerumani bila kutarajia.Nashukuru kwa hii sentensi mkuu maana naona mwanzo mliwabeza.
Dakika 90 zitaamuaGame ya Belgium hii
Hata kama sioni Japan ikishinda hapaDakika 90 zitaamua
hahahahaha! hawa jamaa wanajua kabisa mnawadharau hivyo wanacheza kwa moyo wote kabisa.Kuna michezo mingine ni kukomoa na kuaibishana, mfano ni kama Korea Kusini ilivyomtoa Mjerumani bila kutarajia.
Sijui nguvu huwa wanazitoa wapi, na hii mechi inaweza kuwa miongoni mwao
Super Sub hiyo subiri utamuona tu.Sijaiona pikipiki yangu Honda leo..
Hawa akina Suzuki wao wanapiga mashuti haooo!!Lukaku amebanwa
Diego costa hajazoea mpira wa hispania mipasi mingi isiyo na maana bora hata angewavumilia wa Brazil tu.Huyu Lukaku hana tofauti yoyote na Diego Costa
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sisimizi kuua temboo!!Kuna michezo mingine ni kukomoa na kuaibishana, mfano ni kama Korea Kusini ilivyomtoa Mjerumani bila kutarajia.
Sijui nguvu huwa wanazitoa wapi, na hii mechi inaweza kuwa miongoni mwao
Kweli mkuu, timu ambayo inajua kabisa haifiki popote ikiamua kukuharibia linawezakana tuhahahahaha! hawa jamaa wanajua kabisa mnawadharau hivyo wanacheza kwa moyo wote kabisa.
Nafiri ulimuona kipa wa JAPAN alivyoruka kumzuia kompany alipotaka kupiga kichwa.
Ni shida tupu ila wanaweza kufika nusuUnafikiri mkuu hawa jamaa wana kelele sana hapo walipofika tu ni balaa jaribu kufuatilia vyonmbo vyao vya habari.