Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hii ndio sifa ya wana jf.Ni mtazamo mkuu, hamna tatizo. Tupo pamoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hii ndio sifa ya wana jf.Ni mtazamo mkuu, hamna tatizo. Tupo pamoja.
Leo upo timu gani?Haya sasa dk ni ya 10 ya mchezo...
Aaah..Leo mm mpenzi mtizamaji tuu...ww wapi leo nikupe sapoti??nasubiri cha SAA 3 usiku kwa ham...Leo upo timu gani?
Sasa hivi SwitzerlandAaah..Leo mm mpenzi mtizamaji tuu...ww wapi leo nikupe sapoti??nasubiri cha SAA 3 usiku kwa ham...
Tupo pamoja HB,.ngoma nzito naona,.Sasa hivi Switzerland
Baadae Colombia
Naona. Ila mambo yataenda sawa tuTupo pamoja HB,.ngoma nzito naona,.
Akanji jasho linamchuruzika[emoji16]Naona. Ila mambo yataenda sawa tu
Hawa jamaa nguvu sawaAkanji jasho linamchuruzika[emoji16]
Ila bora uswiz apite ataleta challenge kwenye mchezo ujao,.Hawa jamaa nguvu sawa
Ni kweli. Sweden wamepoa sana.Ila bora uswiz apite ataleta challenge kwenye mchezo ujao,.
Nchi yeyote ichukue hili kombe ila sio hawa waingereza.
Saaana tofauti na wa Japan jana...Ni kweli. Sweden wamepoa sana.
Wale jamaa sio watu wazuri. Kidogo wamvue nguo mtu mzimaSaaana tofauti na wa Japan jana...
Hahahahaa hawana adabu kabisaaa lakini ilitakiwa vile full michachafyo...sio leo jamaa wamepoaa bora wasepe kwao tuu wabaki waswizzWale jamaa sio watu wazuri. Kidogo wamvue nguo mtu mzima
Timu za kupaki basi sizikubali hata kidogo.Hahahahaa hawana adabu kabisaaa lakini ilitakiwa vile full michachafyo...sio leo jamaa wamepoaa bora wasepe kwao tuu wabaki waswizz
Nguvu na akili zao sijui wanaziacha kwenye parking...wako doorooTimu za kupaki basi sizikubali hata kidogo.
Brazil ni timu pekee ambayo ikichukua ubingwa haitolewi makundi fainali zinazofata .Daaaaaaaaah Brazil dhidi ya Mexico..... Ni fainali ya kwanza kabla ya fainal. Hapa umepigwa mpira wa hela yote ila mashahidi ni Ochoa na Allison Becker...... Kuna michezo hutakiwi kutizama na familia maana watajua matusi yako na mzuka wako.....
Pakikucha nakwenda kununua jezi ya Ochoa na Allison kwa kuufanya mchezo huu kuwa fainali. Kwanini hawa wasingekutana fainal...? Mbele ya macho ya Raisi wa FIFA unapigwa mpira wa dunia....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Brazil umechomoka hapo, tunakupa tena Belgium... Ukichomoka na hapo tunakupa England....au kuna tatizo