Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mwisho wa Juma Ikangaa"Mbappe"na mambio mambio yake ni leo
Giminez,Laxalt,Godin na Ceceres huwezi pata nafasi hiyo ya kukimbia kimbia!
Mwisho wa huyu anaye ng'ang'ania sana jabulani kama ni ice cream Neymar pia ni leo
Belgium hawawez shindwa vikongwe Brazil,beki mwenye umri mdogo anaye anza ana 30!
Uruguay na Belgium watapita!!
 
Hahaaa. Mie pia huwa naikubali France japokuwa leo ngoma itakuwa nzito mbele ya Uruguay.

Ewaaaa. Karibu utupe support bana.
Haswaaa Uruguay co wa mchezo mchezo na
Wao n France wajipange haswa
 
Haswaaa Uruguay co wa mchezo mchezo na
Wao n France wajipange haswa
Umeonaeee. Na Uruguay huwa wana vitabia vya kukera vikiongozwa na Suares bila kugangamala wanaeza angukia pua.

Kila la kheri kwao France.
 
1998 ndipo nilipo anza urafiki na wachezaji wengi sana...... 1998 ndipo nilipotekwa na uhasama wa mataifa mawili wana fainali(Brazil dhidi ya Ufaransa)...... Kwangu mimi mpira wa kweli ulizaliwa huku(france vs brazil) japo wale rangi ya chungwa ndio walikuwa upande wangu.

Baada ya 1998 kupita ni umri wa mtu mzima sasa..... Ila 2006 robo fainali Brazili alikufa tena kwenye miguu ya Zinedine Zidane pale kwenye Dimba....... Baada ya 2006 tumemis kuuona mpira wa hela zote, mpira wakusimamisha dunia na shilingi zake.

Napenda kuwaona brazili dhidi ya Ufaransa mwaka 2018 tujaaliwe inshaallah.
Kibaya zaidi ni kuwa inawezekana ikachezwa fainali kabla ya fainali yenyewe.
 
Namimi nitakwambia kama ninavyowaambia Yanga siku zote, dua la kuku halimpati mwewe, subiri uje uone Samba la Kibrazil likichezwa golini kwa Wabelgiji
Hahaaa. Angalia usije ukakimbia maandishi yako Sesten sababu Samba kwa Brazil ilikuwa zamani na si sasa.

Hivyo jipange Baba usije tokomea nikawa sikuoni Hajar mie kisa Brazil kachezea kichapo.
 
Hello.
Bila shaka mko poa. Ni masaa machache yaliyobaki hapo saa 3:00 usiku Brazil kutupa raha tunayoitegemea siku ya leo.(BRA vs BEL)

Mamilion ya watu tuna hamu sana,kuona brazil wakifanya yao, na nina imani brazil watafanya vizuri iwapo watazingatia haya machache.

1: Ni lazima wapate goli la kwanza ndani ya dk 15 za mwanzoni ikishindikana basi kipindi cha kwanza tuwe na goli.
2: ni lazima wakabe mwanzo mwisho, wawe makini na makosa ya kizembe eg. Wasiruhusu penalty kwa mpinzani. Hii ni mbaya sana.
3: wasiruhusu mpira uchezwe dk 120 hii sio salama hata kidogo.

4: sina shaka na Neyma na team mzima, brazil ya sasa ni bora kuliko ya 2014,nina imani nao, la muhimu, wacheze ki- team. sio lazima Neyma afunge yeye anaweza kuwa sababu ya mwenzake kufunga hiki ndicho cha muhimu.tunachokitaka ni ushindi.
# leo ni siku mbaya kwangu nina wasiwasi sijiamini. Lolote la kutokea nitaumia/nitalia sana. Mungu atasimama upande wangu.wapinzani wangu wote wanasubiri muda ufike ee mungu simama upande wangu.

Matokeo:

Kipindi cha kwanza dk ya 11 bra 1- 0 bel
Kipindi cha pili dk ya 54 bra2- 0bel.
Kipind cha pili dk ya 87- bra 2-1bel
Dakika za nyongeza zitakua 4/5 bra 3-1 bel.
Mchezo kwishaaaa

Hii ndiyo raha ninayoitegemea leo.
Kama una cha kuchangia karibu.

All the best Brazil.
 
Hazard- leo usiwe na papara mipira yote naleta kwako

Mwalukaku-leo kazi kazi wale watoto laini laini sana tunawapiga 2
IMG_20180706_100301_885.jpg
 
1998 ndipo nilipo anza urafiki na wachezaji wengi sana...... 1998 ndipo nilipotekwa na uhasama wa mataifa mawili wana fainali(Brazil dhidi ya Ufaransa)...... Kwangu mimi mpira wa kweli ulizaliwa huku(france vs brazil) japo wale rangi ya chungwa ndio walikuwa upande wangu.

Baada ya 1998 kupita ni umri wa mtu mzima sasa..... Ila 2006 robo fainali Brazili alikufa tena kwenye miguu ya Zinedine Zidane pale kwenye Dimba....... Baada ya 2006 tumemis kuuona mpira wa hela zote, mpira wakusimamisha dunia na shilingi zake.

Napenda kuwaona brazili dhidi ya Ufaransa mwaka 2018 tujaaliwe inshaallah.
Kibaya zaidi ni kuwa inawezekana ikachezwa fainali kabla ya fainali yenyewe.
Kuna uwezekano mkubwa ikachezwa fainali kabda ya fainali.....japo mimi ni Brazil like nothing ila ukweli lazima tuseme, France wako vizuri na kisaikolojia wako njema zaidi wanapokutana na Brazil, huwa wanawaona Brazil kama timu ya kawaidia tu ya kujipigia
 
Hahaaa. Angalia usije ukakimbia maandishi yako Sesten sababu Samba kwa Brazil ilikuwa zamani na si sasa.

Hivyo jipange Baba usije tokomea nikawa sikuoni Hajar mie kisa Brazil kachezea kichapo.
Hajar Samba linapochezwa golini kwako usiguse pasi za watu hovyo utajifunga mwenyewe buuree!

Nitayarishie tu zawadi ya ushindi....
 
Hazard- leo usiwe na papara mipira yote naleta kwako

Mwalukaku-leo kazi kazi wale watoto laini laini sana tunawapiga 2View attachment 803582
Hahaaaa. Nilimpenda sana Lukaku ile game ya Japan hasa wakati wa lile goli la tatu , pale angekuwa mchezaji mwingine angetaka kujizolea sifa kwa kuivusha nchi yake kwa kumalizia ile pasi ya mwisho ila Lukaku wa watu akaipisha na kumuachia Chadli amalize kazi.

Hongera kwake.
 
Hajar Samba linapochezwa golini kwako usiguse pasi za watu hovyo utajifunga mwenyewe buuree!

Nitayarishie tu zawadi ya ushindi....
Hahahaaaa. Sitaki kuamini ukisemacho mpaka nijioneee Sesten.

Hahaaa. Zawadi tu mkishinda tu basi ujue umepata yaani kesho najileta mwenyewe na zawadi yangu huko. Teh teh teh.

Tukishinda sie je?
 
Dah! Nakusikitikia sana mtoa mada, Leo nahisi utolala kwa raha kwa iufikilia ile mvua ya magoli mtakayovurumishiwa na Ubelgiji, leo ni muda wa lukaku kulingana kimagoli na harry kane the great.
 
Back
Top Bottom