usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Haa haa aiseee me France yangHahahaaa. Tenaaaaa. Yaani 21:00hrs naona mbali aiseee.
We team nani kwanza rafiki?
Ukipita tu bhaaas Ila saa tatu nakusapoot
Ulipo nipoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haa aiseee me France yangHahahaaa. Tenaaaaa. Yaani 21:00hrs naona mbali aiseee.
We team nani kwanza rafiki?
Hahaaa. Mie pia huwa naikubali France japokuwa leo ngoma itakuwa nzito mbele ya Uruguay.Haa haa aiseee me France yang
Ukipita tu bhaaas Ila saa tatu nakusapoot
Ulipo nipoo
Haswaaa Uruguay co wa mchezo mchezo naHahaaa. Mie pia huwa naikubali France japokuwa leo ngoma itakuwa nzito mbele ya Uruguay.
Ewaaaa. Karibu utupe support bana.
Namimi nitakwambia kama ninavyowaambia Yanga siku zote, dua la kuku halimpati mwewe, subiri uje uone Samba la Kibrazil likichezwa golini kwa WabelgijiSesten Zakazaka najua weye siku zote ni team Brazil ila leo nasema jipange Kisaikolojia sababu utapata tabu sana.
Umeonaeee. Na Uruguay huwa wana vitabia vya kukera vikiongozwa na Suares bila kugangamala wanaeza angukia pua.Haswaaa Uruguay co wa mchezo mchezo na
Wao n France wajipange haswa
Hahaaa. Angalia usije ukakimbia maandishi yako Sesten sababu Samba kwa Brazil ilikuwa zamani na si sasa.Namimi nitakwambia kama ninavyowaambia Yanga siku zote, dua la kuku halimpati mwewe, subiri uje uone Samba la Kibrazil likichezwa golini kwa Wabelgiji
Hakika huyu Suarez aspoacha ujinga leoUmeonaeee. Na Uruguay huwa wana vitabia vya kukera vikiongozwa na Suares bila kugangamala wanaeza angukia pua.
Kila la kheri kwao France.
Kuna uwezekano mkubwa ikachezwa fainali kabda ya fainali.....japo mimi ni Brazil like nothing ila ukweli lazima tuseme, France wako vizuri na kisaikolojia wako njema zaidi wanapokutana na Brazil, huwa wanawaona Brazil kama timu ya kawaidia tu ya kujipigia1998 ndipo nilipo anza urafiki na wachezaji wengi sana...... 1998 ndipo nilipotekwa na uhasama wa mataifa mawili wana fainali(Brazil dhidi ya Ufaransa)...... Kwangu mimi mpira wa kweli ulizaliwa huku(france vs brazil) japo wale rangi ya chungwa ndio walikuwa upande wangu.
Baada ya 1998 kupita ni umri wa mtu mzima sasa..... Ila 2006 robo fainali Brazili alikufa tena kwenye miguu ya Zinedine Zidane pale kwenye Dimba....... Baada ya 2006 tumemis kuuona mpira wa hela zote, mpira wakusimamisha dunia na shilingi zake.
Napenda kuwaona brazili dhidi ya Ufaransa mwaka 2018 tujaaliwe inshaallah.
Kibaya zaidi ni kuwa inawezekana ikachezwa fainali kabla ya fainali yenyewe.
Hahahaaa. Umeonaeee.Hakika huyu Suarez aspoacha ujinga leo
Watazchapa uwanjan na Antonio girzman
Kabsa rafik ngoja tungojee muda ufikeHahahaaa. Umeonaeee.
Kazi ipo rafiki leo.
Hajar Samba linapochezwa golini kwako usiguse pasi za watu hovyo utajifunga mwenyewe buuree!Hahaaa. Angalia usije ukakimbia maandishi yako Sesten sababu Samba kwa Brazil ilikuwa zamani na si sasa.
Hivyo jipange Baba usije tokomea nikawa sikuoni Hajar mie kisa Brazil kachezea kichapo.
Hahaaaa. Nilimpenda sana Lukaku ile game ya Japan hasa wakati wa lile goli la tatu , pale angekuwa mchezaji mwingine angetaka kujizolea sifa kwa kuivusha nchi yake kwa kumalizia ile pasi ya mwisho ila Lukaku wa watu akaipisha na kumuachia Chadli amalize kazi.Hazard- leo usiwe na papara mipira yote naleta kwako
Mwalukaku-leo kazi kazi wale watoto laini laini sana tunawapiga 2View attachment 803582
Kweli kabisa rafiki.Kabsa rafik ngoja tungojee muda ufike
Hahahaaaa. Sitaki kuamini ukisemacho mpaka nijioneee Sesten.Hajar Samba linapochezwa golini kwako usiguse pasi za watu hovyo utajifunga mwenyewe buuree!
Nitayarishie tu zawadi ya ushindi....