Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Muda unazidi kwenda tu hapa[emoji23] [emoji23] [emoji736]
Wooyooooo[emoji95][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tupo pamoja
[emoji23] [emoji23]HB mbona una like tuu brother-kaka...sema neno,.au mkeka ushapasuka mapema?[emoji23]
Hapana , wanategemea mipira ya juu. Attemp zinakuwa blocked na hasa sifa iende kwa Umtiti.
Usiwe na paparaa[emoji23][emoji23]niko kamili gadoMfyuuuuuu
huu mkeka wa mapema nasubiri mahela tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]HB mbona una like tuu brother-kaka...sema neno,.au mkeka ushapasuka mapema?[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ulimkataa wewe jamani
Ndio, wamegundua wingi wa viungo wa Uruguay, kwahiyo wanamiliki mpira kwa muda mrefu. Uruguay wapo wameathirika kisaikolojia na unaona frustrations zaoHaya, hivi unawaona hawa ufaransa wanavyokuja lakini!?
Kwani tumekubaliana!??tuko kwenye chaguzi ndogondogoKweli unamuuliza mwanaume achague nn
[emoji23] [emoji23]Subiri ajibu....
Kukoksekana kwa Cavani pengo linaonekanaKwa mechi ya leo Uruguay, it is safe to say hawana plan b zaidi ya kutegemea hizo long balls
Ni muda muafaka sasa kujenge timu mpya ya vijana {Ninahisi wachezaji wengi umri umeanza kuwatupa}
Huo mkeka..jamvi??[emoji23]huu mkeka wa mapema nasubiri mahela tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 803820
na kaupara kanamnyemelea[emoji23]Dembele siku hizi ana ndevu? Dah, maisha yanakimbia sana.
Sawa-sawa...Kuna mdau mmoja (Shunie ) amesema tuweke faranga ili nikishakula nimkatie 10%
Naona una raha sana leo mkuu.huu mkeka wa mapema nasubiri mahela tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 803820
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kusikia mahela