Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

HB mbona una like tuu brother-kaka...sema neno,.au mkeka ushapasuka mapema?[emoji23]
huu mkeka wa mapema nasubiri mahela tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IMG_20180706_184357.jpg
 
Haya, hivi unawaona hawa ufaransa wanavyokuja lakini!?
Ndio, wamegundua wingi wa viungo wa Uruguay, kwahiyo wanamiliki mpira kwa muda mrefu. Uruguay wapo wameathirika kisaikolojia na unaona frustrations zao
 
Back
Top Bottom