Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu imekaa kidada sana..ndio maana kila dada unaemuona anaijua brazil tu[emoji23] [emoji23]Kwanini mkuu
Dakika 2 kwao huwa zinafanya maajabuBrazil oo!!!! brasil kwann hivi lakini
Timu imekaa kidada sana..yaaaan
Ana allergy ya kujiangusha huyu dogo
Shunie atakuwa kashazima TV na kujifunika shuka kitandani kabisahana hamuu yupo mumu tu,
[emoji23] [emoji23] ndio tulikulia nayo enzi za udogo wetuTimu imekaa kidada sana..ndio maana kila dada unaemuona anaijua brazil tu[emoji23] [emoji23]
wanapenda mnyoa kiduku tu,Timu imekaa kidada sana..
jasho lamtoka mpakaShunie atakuwa kashazima TV na kujifunika shuka kitandani kabisa
Numbisa basii tumwache dogo amalizie uji wake,.[emoji28]Halafu anajiona ni mtoto anayestahili kulindwa na marefa kwa kila mechi
mbwa koko
piga dog aooo
Numbisa unaujua sanaaaaa mpira elimisha hao akina mumu shunie naHalafu anajiona ni mtoto anayestahili kulindwa na marefa kwa kila mechi
Vp tumletee Neymar godoro ili alale vizuri?