Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo rafiki ,karibu tuangalie kiputePoapoa,.niambie mtu mwenye chake
Utapata tabu sanaaaaaaNipo France
[emoji16]mimi mwenyewe siku ya France na Uruguay nilijikuta nipo ufaransa kisa mkaka mmoja hivi sijui anaitwa nani ila alifunga goli la pili mambo haya yapo kwa wanawake wengihaa haa mbona mimi leo team Belgium na sijaona handsome yoyote mule!!!
ila kuna ka ukweli fulani...nilijikutaga naishabikia colombia kisa Rodriguez
Karibu FranceHaya wapenzi watizamaji tujongee eneo la tukio...
Pamoja sana, Chief.#TeamBelgium#
Mambo hayo yapo kwa wanawake wengiDuh!! Kumbeeeee
Nipo Mkuu,hajambo.
Pole sana kwa Argentina yako kutolewa najua umeumia sana.
Japo sikuziona juhudi zenu za dhati kwenye kombe hili,sio kwa kocha yule kichaa![]()
![]()
![]()
Hadi sasa Belgium haijapoteza wala kudroo mechi hata moja, ngoja tuone na leo...Fainali kabla ya fainali
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Leo nipo Ufaransa
Acha wanga asbh yote hiiNa Belgium ndo ma Bingwa this time! Mark this.
Good! France anashindaLeo nipo Ufaransa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mechi kati Brazil na Belgimu, watu wengi waliipa Brazil ushindi lakini ikawa kinyume chake, mimi ambaye nilisimamia mkeka wangu nikaibuka kidedea.
Leo tena nimeona watu wengi wapo France, ila mimi kama kawaida mkeka wangu nausimamia, sijui itakuwaje huko mbele...
Upo timu gan?[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
It doesnt matterBelgium wachezaji 10 wameanza wanacheza epl