Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Yaani tungeongeza la pili kabisaaa...hawa jamaa ungongoti wao bao za vichwa zinaweza kubadili utaratibu...
 
Kocha wa ufaransa sijui ametumia vigezo gani kumpanga Giroud kikosi cha kwanza. Hana tofauti Kangi...Simuelewi1
 
Team France mupoooo?
Ila naumiaje jamani maana najua hakika leo kipenzi changu De Bruyne na Belgium wanatolewa ila ndio sina namna sasa.
Ufaransa kwanza [emoji1434]

Na kinachoniuma zaidi ni kuona kombe la Dunia linaishia kwenye mechi ya leo.
Eeeh,sasa kama France au Belgium wanakutana leo kuna fainali gani ya kusisimua? England vs France? No
Croatia vs France? No
Dah!
Waliopanga makundi walaaniwe.
True waliopanga makundi dah Mungu anawaona
 
Back
Top Bottom