Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Yaani tungeongeza la pili kabisaaa...hawa jamaa ungongoti wao bao za vichwa zinaweza kubadili utaratibu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geroud leo naona anatera mipira tuu. Anataka ahamishiwe magoli yawe angani naona. Atulie apige mipira ya kutulia. 🙁🙁Giroud hajaitendea haki, badala ya kufunga anataka aguse mara ya kwanza alafu ndionapige.
ile pasi ni balaaa. hatari sana hawa wababe wa leo ni burudani tosha
Nnasubiria turudishe hapa.Dembele aliwekwa ili apooze mpira maana france wana speed sn baada ya kufungwa kinachotakiwa ni kukimbiza tu ndio maana ilikuwa lazima atoke
Mbape aende Barca kwa wafalme wa mpira.. 😀Mbappe namuona anaenda madrid
Take it easy Chief,.[emoji16]Belgium wanazingua sasa .. mpira gani huu wanacheza sasa.?
I hope wataudisha, ila kwa mpira huu radha ya nusu fainali tulotazamia haipo kabisa.Nnasubiria turudishe hapa.
Ila mpira wake ndio ulisababisha kona iliyoleta goli.Kocha wa ufaransa sijui ametumia vigezo gani kumpanga Giroud kikosi cha kwanza. Hana tofauti Kangi...Simuelewi1
Nami naunga hoja. Defenders wawe macho..Huyu Mertens wa kuchungwa sana kwa mipira ya krosi anayotoa
ImpossibleKumbe unajua mpira, sema usiwe na wasiwasi matokeo mi nishayaona. Belgium 1 - 0 France
True waliopanga makundi dah Mungu anawaonaTeam France mupoooo?
Ila naumiaje jamani maana najua hakika leo kipenzi changu De Bruyne na Belgium wanatolewa ila ndio sina namna sasa.
Ufaransa kwanza [emoji1434]
Na kinachoniuma zaidi ni kuona kombe la Dunia linaishia kwenye mechi ya leo.
Eeeh,sasa kama France au Belgium wanakutana leo kuna fainali gani ya kusisimua? England vs France? No
Croatia vs France? No
Dah!
Waliopanga makundi walaaniwe.
Ni kweli mkuu, lakini anapoteza sana nafasiIla mpira wake ndio ulisababisha kona iliyoleta goli.
Enjoy ,game yako hyWooyoooo[emoji482][emoji482][emoji482]
Tuombe sanaNami naunga hoja. Defenders wawe macho..