Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Naomba kuuliza...je England iliwakosea nini Watanzania mlio wengi? Mathalani Tanzania si miongoni mwa timu zinazoshiriki World Cup, kwa nini tusishabikie tu timu inayotandaza kandanda safi na kufunga mabao? Brazil ilikung'utwa 5-0 World Cup iliyopita lakini unakuta watu humu eti hawaipendi timu iliyowatoa juzi. Nitaishangilia Tanzania kama inafanya vizuri lakini sina sababu ya kuwachukia England kama wanafunga mabao...huo nauita ushabiki maandazi!
 
Back
Top Bottom