Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Russia leo imefungua maenesho rasmi ya silaha na zana za kivita wanazoteka huko Ukraine kutoka nchi za magharibi.
Hii lwa upande wangu dharau kubwa sana na kwa jicho la mbali hii vita hata wampe Ukraine dollars trillion 100 hawezi kushinda hii vita.
Wameanza kupeleka wanajeshi ngoja tuone matokeo yake.
Kila la heri mwamba Vladimir Putin.