Hayo ni maneno ya Mjinga na Mpumbavu asiyejua kitu!!Katika nchi duniani kijeshi ni hovyo ni Israel, hivi inakuwaje unapewa pesa, silaha na intelligence kutoka nchi za Ulaya wakiongozwa na US kupigana na waarabu wamevaa truck suit na kobazi wakiwa na njaa kali kwa kukosa chakula na bado mnashindwa kuchukua mateka?
Wewe hapo tu umeshindwa kuchukua nchi yako mpaka unatawaliwa na nanii then unakuja wapangia Israeli!!Katika nchi duniani kijeshi ni hovyo ni Israel, hivi inakuwaje unapewa pesa, silaha na intelligence kutoka nchi za Ulaya wakiongozwa na US kupigana na waarabu wamevaa truck suit na kobazi wakiwa na njaa kali kwa kukosa chakula na bado mnashindwa kuchukua mateka?
Mimi sijawapangia lakini hili jambo limenishangaza sana...Wewe hapo tu umeshindwa kuchukua nchi yako mpaka unatawaliwa na nanii then unakuja wapangia Israeli!!
Unajua msaada anaoupata Israel leo angeupata Palestina ingekuwaje?.Hayo ni maneno ya Mjinga na Mpumbavu asiyejua kitu!!
Unapewa ndege, pesa, intel, makombora, ulinzi wa anga n.k kupambana na vijana wa kiarabu waliopo ndani ya kieneo mmkizunguka, wana njaa, uhaba wa silaha na kushangaza zaidi mnawazidi wingi wa askari, lakini mnapelekeshwa hadi mnaingia makubaliano ya kuachia mateka.Nenda kashangae Makaburini ambako watu wanapandwa lakini hawaoti!!
Maswali ya kijinga kabisa kwani wao nani kawazuia kupata misaada?Unajua msaada anaoupata Israel leo angeupata Palestina ingekuwaje?.
Eti wameteuliwa na Mungu lakini hawaamini Mungu sasa Mungu yupi huyo alie wateuwa?.
Marekani hutoa takriban dola bilioni 3.8.. kila mwaka kama msaada kijeshi..Unajua msaada anaoupata Israel leo angeupata Palestina ingekuwaje?.
Eti wameteuliwa na Mungu lakini hawaamini Mungu sasa Mungu yupi huyo alie wateuwa?.
Hivi wewe huoni anae zuwia hio misaada ili kuwafikia Palestina?. Acha ushabiki fanya utafiti basi mkuu.Maswali ya kijinga kabisa kwani wao nani kawazuia kupata misaada?
Nani alikudanganya kuwa wayahudi hawamuamini Mungu? Wao hawamuamini Allah wenu tu!!
Mimi niko huku ninaona kinachoendelea wewe si unasimliwa tu na wafuga Midevu na majini tu!! Misaada inayozuiwa ni ya chakula kwa sasa lakini mwezi uliopita misaada ya chakula wamepewa sana tu tena ya kutosha hata mwaka mzima chakula wanacho cha kutosha. Harafu kikawaida huwezi kumpa chakula adui unayepigana naye lakini kipindi cnotę Israel ilikuwa inawapa chakula magaidi hao na ndiyo maana wameota kaburi maana wanakula na kushiba.Hivi wewe huoni anae zuwia hio misaada ili kuwafikia Palestina?. Acha ushabiki fanya utafiti basi mkuu.
maliza kwanza ya kwenu ndo uhamie kwa majiraniMarekani hutoa takriban dola bilioni 3.8.. kila mwaka kama msaada kijeshi..
Katika vita ya Gaza mwaka 2023 na kuendelea 2024, Marekani iliidhinisha msaada wa dharura wa ziada wa zaidi ya dola bilioni 14...
Huo msaada wote apambane na Hamas, inashangaza sana..
Kabisa hawana lolote la kujivuniaUnapewa ndege, pesa, intel, makombora, ulinzi wa anga n.k kupambana na vijana wa kiarabu waliopo ndani ya kieneo mmkizunguka, wana njaa, uhaba wa silaha na kushangaza zaidi mnawazidi wingi wa askari, lakini mnapelekeshwa hadi mnaingia makubaliano ya kuachia mateka.
Kiukweli IDF hamna kitu..
Hii ndo shida ya ushabikiMimi niko huku ninaona kinachoendelea wewe si unasimliwa tu na wafuga Midevu na majini tu!! Misaada inayozuiwa ni ya chakula kwa sasa lakini mwezi uliopita misaada ya chakula wamepewa sana tu tena ya kutosha hata mwaka mzima chakula wanacho cha kutosha. Harafu kikawaida huwezi kumpa chakula adui unayepigana naye lakini kipindi cnotę Israel ilikuwa inawapa chakula magaidi hao na ndiyo maana wameota kaburi maana wanakula na kushiba.
Na hili ni tatizo la wayahudi wana huruma mno vita hii wangekuwa wameimaliza siku nyingi Uliona wapi wewe nchi inapigana vita harafu adui yako unawapa chakula? Uli ona wapi majeshi yanataka kufanya shambulio kubwa unatoa taarifa kwa adui zako? Katika majeshi yote duniani Israel pekee ndiyo Jeshi lenie huruma kuliko yote na ndiyo maana IDF inaitwa “The Most Moral Army In The World.”
Wayahudi wanaamini kitabu cha TORATI ; Je kitabu hiki hakina uhusiano na Mungu?Maswali ya kijinga kabisa kwani wao nani kawazuia kupata misaada?
Nani alikudanganya kuwa wayahudi hawamuamini Mungu? Wao hawamuamini Allah wenu tu!!
Endelea kujipa moyo tu lakini walioko huko wanakipata cha mtema kuni!!!Unapewa ndege, pesa, intel, makombora, ulinzi wa anga n.k kupambana na vijana wa kiarabu waliopo ndani ya kieneo mmkizunguka, wana njaa, uhaba wa silaha na kushangaza zaidi mnawazidi wingi wa askari, lakini mnapelekeshwa hadi mnaingia makubaliano ya kuachia mateka.
Kiukweli IDF hamna kitu..