Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Hii ni dalili ya uchizi, kumbuka Israel amebomoa Hadi makanisa. Ana huruma gani mbona anawaua watoto na akina mama .Wakristo wengi wameuwawa aamini katika Mungu wetu ambaye alisisitiza kuwa yeye ni mfalme wa amani. Amani na salama wapendwaMimi niko huku ninaona kinachoendelea wewe si unasimliwa tu na wafuga Midevu na majini tu!! Misaada inayozuiwa ni ya chakula kwa sasa lakini mwezi uliopita misaada ya chakula wamepewa sana tu tena ya kutosha hata mwaka mzima chakula wanacho cha kutosha. Harafu kikawaida huwezi kumpa chakula adui unayepigana naye lakini kipindi cnotę Israel ilikuwa inawapa chakula magaidi hao na ndiyo maana wameota kaburi maana wanakula na kushiba.
Na hili ni tatizo la wayahudi wana huruma mno vita hii wangekuwa wameimaliza siku nyingi Uliona wapi wewe nchi inapigana vita harafu adui yako unawapa chakula? Uli ona wapi majeshi yanataka kufanya shambulio kubwa unatoa taarifa kwa adui zako? Katika majeshi yote duniani Israel pekee ndiyo Jeshi lenie huruma kuliko yote na ndiyo maana IDF inaitwa “The Most Moral Army In The World.”