Kama “ Injili” ni kitabu kwanini “TORATI” ya Mussa isiwe kitabu? Na kama sio kitabu ni nini?Usiseme wanaamini kitabu cha Torati sema wanaamini Torati!! Na Torati ilitoka kwa Mungu!!
Kama “ Injili” ni kitabu kwanini “TORATI” ya Mussa isiwe kitabu? Na kama sio kitabu ni nini?Usiseme wanaamini kitabu cha Torati sema wanaamini Torati!! Na Torati ilitoka kwa Mungu!!
Bado una hangover ya jana. Unakumbuka ushauri wa Kapeace ?Katika nchi duniani kijeshi ni hovyo ni Israel, hivi inakuwaje unapewa pesa, silaha na intelligence kutoka nchi za Ulaya wakiongozwa na US kupigana na waarabu wamevaa truck suit na kobazi wakiwa na njaa kali kwa kukosa chakula na bado mnashindwa kuchukua mateka?
Kumekucha kumekucha tayari, huu uchonganishi huu, hangover imeingiaje hapo sasa, and 100 othersBado una hangover ya jana. Unakumbuka ushauri wa Kapeace ?
Kwani hao mateka wapo wapi?Katika nchi duniani kijeshi ni hovyo ni Israel, hivi inakuwaje unapewa pesa, silaha na intelligence kutoka nchi za Ulaya wakiongozwa na US kupigana na waarabu wamevaa truck suit na kobazi wakiwa na njaa kali kwa kukosa chakula na bado mnashindwa kuchukua mateka?
Mateka walikuwepo Gaza pale pale..Kwani hao mateka wapo wapi?
ILA ISRAELI WATU WA HOVYO KWELI WANAKUBALI KUPAMBANA VITA WASIVYOVIWEZA KWA FAIDA YA US?YAANI MIAMI FLORIDA NY WANAKULA BATA KULE TEL AVIVI WANAISHI KWA MASHAKAWewe hapo tu umeshindwa kuchukua nchi yako mpaka unatawaliwa na nanii then unakuja wapangia Israeli!!
Niseme mning'inio basiKumekucha kumekucha tayari, huu uchonganishi huu, hangover imeingiaje hapo sasa, and 100 others
Mkuu, unaujua uhusiano wa US na Israel?ILA ISRAELI WATU WA HOVYO KWELI WANAKUBALI KUPAMBANA VITA WASIVYOVIWEZA KWA FAIDA YA US?YAANI MIAMI FLORIDA NY WANAKULA BATA KULE TEL AVIVI WANAISHI KWA MASHAKA
Katika jamii ya hovyo goigoi ni arabs hivi inakuwa vinchi vyoote vya kiarab wakisaidiwa na china, north korea, na russia vinashindwa kuirudisha Israel tena iwe ya wapalestina? Yaani kila wakijaribu wanaishia kupigwa kipigo cha jibwa koko jizi la mifupa ya supu za kongoroKatika nchi duniani kijeshi ni hovyo ni Israel, hivi inakuwaje unapewa pesa, silaha na intelligence kutoka nchi za Ulaya wakiongozwa na US kupigana na waarabu wamevaa truck suit na kobazi wakiwa na njaa kali kwa kukosa chakula na bado mnashindwa kuchukua mateka?
Ahh Iran anasaidiwa tena hata kuzima moto anyway jini moja linasaidiwa na jini jingine baada ya kupata kipondoRais wa Urusi Vladimir Putin ameiagiza Wizara ya Hali ya Dharura kupeleka ndege kadhaa za kuzima moto za Beriev Be-200ES, pamoja na ndege ya usafiri ya Il-76TD, kuelekea kusini mwa Iran ili kusaidia juhudi za kuzima moto kufuatia mlipuko wa jana kwenye bandari ya Bandar Abbas kwenye Ghuba ya Uajemi.
View attachment 3317899
Anahitaji kipande anakwuta ndani ukamtoe mdusuHivi wewe huoni anae zuwia hio misaada ili kuwafikia Palestina?. Acha ushabiki fanya utafiti basi mkuu.
mahusiano yao yanahusu nini haswaMkuu, unaujua uhusiano wa US na Israel?
Mungu yupo mataifa ya ulaya hayana nguvu kuliko Mungu aliyetuumbaKatika nchi duniani kijeshi ni hovyo ni Israel, hivi inakuwaje unapewa pesa, silaha na intelligence kutoka nchi za Ulaya wakiongozwa na US kupigana na waarabu wamevaa truck suit na kobazi wakiwa na njaa kali kwa kukosa chakula na bado mnashindwa kuchukua mateka?
Mateka wa nini? Unawaona Iran?Katika nchi duniani kijeshi ni hovyo ni Israel, hivi inakuwaje unapewa pesa, silaha na intelligence kutoka nchi za Ulaya wakiongozwa na US kupigana na waarabu wamevaa truck suit na kobazi wakiwa na njaa kali kwa kukosa chakula na bado mnashindwa kuchukua mateka?
Wenzako wanachukua ardhi kwa kigezo Cha mateka kuwa Kama chambo hata Hilo uelewi?. Unafikili netanyau aliposema wamefanya kosa kihistoria alimaanisha nini?.Katika nchi duniani kijeshi ni hovyo ni Israel, hivi inakuwaje unapewa pesa, silaha na intelligence kutoka nchi za Ulaya wakiongozwa na US kupigana na waarabu wamevaa truck suit na kobazi wakiwa na njaa kali kwa kukosa chakula na bado mnashindwa kuchukua mateka?
Ukijaribu kurudi nyuma ukazungumza kwa kutumia akili zaidi na kuacha kujadili mambo kwa hisia za kimapenzi na chuki binafsi nadhani utakuwa msaada mzuri tu kwa jamii yako. Na hata Familia yako itajivunia. Ahsante.Mimi niko huku ninaona kinachoendelea wewe si unasimliwa tu na wafuga Midevu na majini tu!! Misaada inayozuiwa ni ya chakula kwa sasa lakini mwezi uliopita misaada ya chakula wamepewa sana tu tena ya kutosha hata mwaka mzima chakula wanacho cha kutosha. Harafu kikawaida huwezi kumpa chakula adui unayepigana naye lakini kipindi cnotę Israel ilikuwa inawapa chakula magaidi hao na ndiyo maana wameota kaburi maana wanakula na kushiba.
Na hili ni tatizo la wayahudi wana huruma mno vita hii wangekuwa wameimaliza siku nyingi Uliona wapi wewe nchi inapigana vita harafu adui yako unawapa chakula? Uli ona wapi majeshi yanataka kufanya shambulio kubwa unatoa taarifa kwa adui zako? Katika majeshi yote duniani Israel pekee ndiyo Jeshi lenie huruma kuliko yote na ndiyo maana IDF inaitwa “The Most Moral Army In The World.”
Vipi umeumia sana??Ukijaribu kurudi nyuma ukazungumza kwa kutumia akili zaidi na kuacha kujadili mambo kwa hisia za kimapenzi na chuki binafsi nadhani utakuwa msaada mzuri tu kwa jamii yako. Na hata Familia yako itajivunia. Ahsante.