Russia yasaidia Iran kuzima moto kwenye Bandar Abbas!!

Usiseme wanaamini kitabu cha Torati sema wanaamini Torati!! Na Torati ilitoka kwa Mungu!!
Kama “ Injili” ni kitabu kwanini “TORATI” ya Mussa isiwe kitabu? Na kama sio kitabu ni nini?
 
Kama “ Injili” ni kitabu kwanini “TORATI” ya Mussa isiwe kitabu? Na kama sio kitabu ni nini?
Basi kama hutaki kuelewa basi peleka hii mada yako kwenye Jukwaa la Dini huko utapata misaada zaidi!!
 
Bado una hangover ya jana. Unakumbuka ushauri wa Kapeace ?
 
Huu uzi unahusu Iran na Russia lakini nashangaa comment zote zinahusu Israel.
 
Kwani hao mateka wapo wapi?
 
Wewe hapo tu umeshindwa kuchukua nchi yako mpaka unatawaliwa na nanii then unakuja wapangia Israeli!!
ILA ISRAELI WATU WA HOVYO KWELI WANAKUBALI KUPAMBANA VITA WASIVYOVIWEZA KWA FAIDA YA US?YAANI MIAMI FLORIDA NY WANAKULA BATA KULE TEL AVIVI WANAISHI KWA MASHAKA
 
ILA ISRAELI WATU WA HOVYO KWELI WANAKUBALI KUPAMBANA VITA WASIVYOVIWEZA KWA FAIDA YA US?YAANI MIAMI FLORIDA NY WANAKULA BATA KULE TEL AVIVI WANAISHI KWA MASHAKA
Mkuu, unaujua uhusiano wa US na Israel?
 
Katika jamii ya hovyo goigoi ni arabs hivi inakuwa vinchi vyoote vya kiarab wakisaidiwa na china, north korea, na russia vinashindwa kuirudisha Israel tena iwe ya wapalestina? Yaani kila wakijaribu wanaishia kupigwa kipigo cha jibwa koko jizi la mifupa ya supu za kongoro
 
Ahh Iran anasaidiwa tena hata kuzima moto anyway jini moja linasaidiwa na jini jingine baada ya kupata kipondo
 
Mungu yupo mataifa ya ulaya hayana nguvu kuliko Mungu aliyetuumba
 
Mateka wa nini? Unawaona Iran?
 
Wenzako wanachukua ardhi kwa kigezo Cha mateka kuwa Kama chambo hata Hilo uelewi?. Unafikili netanyau aliposema wamefanya kosa kihistoria alimaanisha nini?.
 
Ukijaribu kurudi nyuma ukazungumza kwa kutumia akili zaidi na kuacha kujadili mambo kwa hisia za kimapenzi na chuki binafsi nadhani utakuwa msaada mzuri tu kwa jamii yako. Na hata Familia yako itajivunia. Ahsante.
 
Vipi umeumia sana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…