Russia yasaidia Iran kuzima moto kwenye Bandar Abbas!!

Hii ni dalili ya uchizi, kumbuka Israel amebomoa Hadi makanisa. Ana huruma gani mbona anawaua watoto na akina mama .Wakristo wengi wameuwawa aamini katika Mungu wetu ambaye alisisitiza kuwa yeye ni mfalme wa amani. Amani na salama wapendwa
 
Vipi umeumia sana??
Mimi ni mdau huru sana katika uchangiaji wa Mada, sina udini,sina ukabila wala sina kawaida kumbeza mtu. Halafu kwanini niumie kwa ujumbe kiongozi, just nakuweka sawa tu, sidhani kama chuki zako kwa waislamu zinajenga chochote cha maendeleo.

Kwa mwanaume hasa anaejielewa sidhani kama anaweza kuwa nazo wachilia mbali kutanguliza chuki za kidini.
 
Hii ni dalili ya uchizi, kumbuka Israel amebomoa Hadi makanisa. Ana huruma gani mbona anawaua watoto na akina mama .Wakristo wengi wameuwawa aamini katika Mungu wetu ambaye alisisitiza kuwa yeye ni mfalme wa amani. Amani na salama wapendwa
Chizi ni wewe ambaye kila Propaganda kwako ina mashiko!! Israel si wajinga wa kubomoa makanisa au misikiti ukiona yamebomolewa elewa kuwa yana miundombinu ya kigaidi na magaidi wanayatumia kama maficho yao kuyashambulia majeshi ya Israel na ndiyo maana yanabomolewa maana si nyumba za ibada tena maana zinatumiwa na magaidi. Kwa ujinga wako unaamini Israel inaua wanawake na watoto!! Jiulize hao watoto wanapouwawa wanaume huwa wako wapi? Au mabomu ya Israel yanaua watoto tu wanaume hayawaui?. Mimi nijuavyo magaidi wote duniani daima huwatumia Wanawake na watoto kama kinga( Human-Shield) Hamas ni magaidi wanawatumia wanawake na watoto tatizo lako wewe zuzu huyajui!!
 
Wenzako wanachukua ardhi kwa kigezo Cha mateka kuwa Kama chambo hata Hilo uelewi?. Unafikili netanyau aliposema wamefanya kosa kihistoria alimaanisha nini?.
Israel imekuwa ikishiriki kwenye mazungumzo ya upatanishi kupitia Qatar na Misri ili kuachiliwa kwa mateka, hata wakati vita bado inaendelea. Kama kweli lengo lao kuu lingekuwa ardhi, kwa nini waingie kwenye mazungumzo hayo?

Israel ina historia ya kuchukua hatua kubwa za hatari kuwaokoa mateka wake, kama ilivyofanyika Entebbe mwaka 1976. Suala la mateka si jambo dogo kisiasa wala kijamii kwa Waisraeli.

hata maadui wa Israel kama Hamas na Hezbollah wanafahamu vizuri jinsi suala la mateka linavyochukuliwa kwa uzito mkubwa na Waisraeli. Ndiyo maana wamekuwa wakitumia mateka kama silaha ya kisiasa....
 
Vikao vy kuzuga hivyo mkuu.
 
Dogo Mimi sio mlokole, Mimi ni mkatoliki anakosali father kitima, kwahiyo kwetu hatuna mahaba ya taifa teule, ndo maana hata kanisa letu haliungi mkono Yale yanayofanywa na taifa teule lako, eti waziri mkuu akasusia kwenda kumzika papa wakati baba yake Mzee Trump alikwenda Sisi ni kanisa la amani ndio wapatanishi wa dunia
 
Wewe ZUZU kweli nani laikuuliza dini yako? Hatuko hapa kutangaza dini!!
Kanisa lako halina MANDATE ya kuilaumu Israel kwa lolote.

Waziri Mkuu wa Israel yupo hapo kwa ajili ya Israel ha yupo hapo kwa ajili ya kwenda kuzika mizoga!!! Wala usijidanganye amesusia!! Israel ni nchi huru haiendeshwi na mtu yeyote yule kama Trump alienda si lazima na Waziri Mkuu wa Israel naye aende!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…