Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

Ruto ni chama tawala mkuu sio mpinzani

Chama tawala Kenya ni Jubilee. Hicho na kina Raila walikuja na muunganiko mwingine "Azimio la Umoja."

Ruto na "Kenya Kwanza" hakuwa huko. Walipo sasa watawala wameshindwa. Kenyatta kama kinara wao huyu hapa anaombwa avunje ukimya:

endelea kukariri
 
Kwamba Ruto ndio msafi ?

Kama bado unaamini wanasiasa, all the best....

Hapo ni Different Script same Cast...
 
hio picha walipiga kabla odinga hajakengeuka na kusema ataongoza kenya kama dikiteta magufuli endapo atashinda na alipokengeuka tu sisi wapenda haki tukamtupilia mbali na hatakuwa rais tena mpaka kifo chake kumbe naye ni dikteta

Raila ni big fan wa sera za Magufuli from day one, kabla hata Magufuli hajawa raisi wa JMTZ wakati ni Waziri wa Ujenzi, hivyo ulichoandika ni uongo mkubwa, chadema-Mbowe, Tundu Lisu wanajua fika kwamba Raila ni muumini wa sera za Magufuli tangia zamani sana.

Kilichompeleka Mbowe kwa Raila ni uhusiano wake (Raila ) na bosi wa Tanzania ya sasa Uhuru Kenyata, hivyo walioshindwa kwenye uchaguzi ni chadema na Utawala wa sasa, na sababu ya kushindwa ni laana!
 
Kwamba Ruto ndio msafi ?

Kama bado unaamini wanasiasa, all the best....

Hapo ni Different Script same Cast...
Post #27 uliiona? Msingi wa mada ni elimu si usafi.

IMG_20220820_130624_146.jpg

Elimu haina mwisho ndugu.
 
Very brilliant Ruto, huyu atakuwa mfano wa Rais bora Africa, give him 2 yrs
 
Back
Top Bottom