Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru

Largest not total? coz ikija total exports, iwe kubwa ama ndogo tukijumuisha, Kenya imeizidi Tanzania..., data zipo.., total exports za Kenya in East Africa pekee ni zaidi ya Tanzania, ikija Kenyan companies investments in East African countries, za Kenya ni mingi by far, kutokea banks to manufacuring.., Kenya imewekeza East Africa zaidi ya nchi yoyote ukanda huu..., ina maana uchumi wenu ukipanda na wa nchi zingine East Africa, Kenya inapanda zaidi, due to investments in those countries. Kwa mfano umeona revenue ya Equity Bank DRC branch kweli? ama total? hakuna biashara yoyote Tanzania iko na pato kama ya Equity.., na bado sijataja Safaricom, ambao waliingia Ethiopia kwa kishindo..., kaka elewa uchumi
IMG_7780.jpeg

IMG_7779.jpeg

Kenya ina export bidhaa zenye thamani ya $8.59 billion, wakati Tanzania thamani $11.3 billion. Hizo ni available data.

Uchumi wa Kenya ni services sector (wametuzidi sana) na ndio sehemu kubwa ya GDP yao, vinginevyo ata kwenye production and manufacturing tumeshaanza kuwapiku.
 
Largest not total? coz ikija total exports, iwe kubwa ama ndogo tukijumuisha, Kenya imeizidi Tanzania..., data zipo.., total exports za Kenya in East Africa pekee ni zaidi ya Tanzania, ikija Kenyan companies investments in East African countries, za Kenya ni mingi by far, kutokea banks to manufacuring.., Kenya imewekeza East Africa zaidi ya nchi yoyote ukanda huu..., ina maana uchumi wenu ukipanda na wa nchi zingine East Africa, Kenya inapanda zaidi, due to investments in those countries. Kwa mfano umeona revenue ya Equity Bank DRC branch kweli? ama total? hakuna biashara yoyote Tanzania iko na pato kama ya Equity.., na bado sijataja Safaricom, ambao waliingia Ethiopia kwa kishindo..., kaka elewa uchumi
Bank inapowekeza kwenye nchi husika, uchumi unaofaidika ni wa hiyo nchi waliyowekeza sio nchi ambayo bank imetokea.

Ukienda kuwekeza huko utakopesha wafanyabiashara watazalisha kwenye hiyo nchi na kutengeneza ajira.

Utalipa, kodi ya faida, utaajiri wenyeji, utajenga majengo kwenye hiyo nchi. Kenya aiwezi faidika na banks zake kwenda nchi nyingine. Shareholder wa bank ndio watakaofaidika iwapo gawio limeongezeka au kama kuna banks za Kenya wameikopesha hiyo equity bank
 
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Cote d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
Tanzania Hatujafika 85.5 Tuko 83 Mkuu
 
Huo ndio utaratibu wao wanapewa data na ofisi za takwimu za nchi.

Kilichoniboa surely wachumi huko WB na statistician shouldn’t believe that. WB is supposed to be a reputable or credible source of reference kwenye maandishi ya uchumi.

Sasa kuchapisha takwimu ambazo ni wazi nchi kama Tanzania nafasi mia zikitangazwa unaweza jaza uwanja wa mpira kwa candidates halafu useme unemployment ni below 3% that’s just an insult to people’s intelligence bora wasiweke.
Hii Kitu Umeongea Point sana Hata kwenye Takwimu Za HIV wanadanganywa Sana..
Tuko Field Tunaona Serkali Inadanganywa Sana na Yenyewe inadanganya WHO..
So its Obvious Misingi Halisi Ni kufanys Kazi na Watu wa chini sana ndo unaweza Kupata Data Zilizo Clean
 
Bank inapowekeza kwenye nchi husika, uchumi unaofaidika ni wa hiyo nchi waliyowekeza sio nchi ambayo bank imetokea.

Ukienda kuwekeza huko utakopesha wafanyabiashara watazalisha kwenye hiyo nchi na kutengeneza ajira.

Utalipa, kodi ya faida, utaajiri wenyeji, utajenga majengo kwenye hiyo nchi. Kenya aiwezi faidika na banks zake kwenda nchi nyingine. Shareholder wa bank ndio watakaofaidika iwapo gawio limeongezeka au kama kuna banks za Kenya wameikopesha hiyo equity bank
I like your reasoning, you argue well.
 
CCM inazidi kuumbuliwa mchana kweupe na kuzidi kuipandisha chart CHADEMA.
Akiwa Beijing, China kwa ziara ya siku 5, raisi wa Kenya amenukuliwa akisema kwama "Tofauti yetu na majirani zetu ni kwamba Kenya ipo kwenye kundi la watu wenye kipato cha kati, huku Tanzania, Uganda na nyingine ziko kwenye nchi zenye maendeleo duni. Wanauza nje bila ushuru, Kenya inalipa ushuru"
Hivi unajua maana ya "they export duty free?" Mie sioni aliposema Tanzania haina hadhi. Tatizo hapa ni kwamba hujaelewa alichomaanisha kwa kusema Tanzania is an LDC and exports duty free.

Ni sawa na kusema Polisi wa Tanzania ni duni kwa sababu wanaruhusiwa kupanda daladala bila kulipa
 
Economic stature maana yake ni hadhi ya uchumi, na unaposema LCD tayari wewe unakuwa kwenye category ya nchi duni...... Soma abstract yote
 
Back
Top Bottom