Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru

Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru

Wewe unaamini hizo data za WB kuhusu unemployment rate ya Africa.

Nilikuwa nafanya research not long ago ya maswala ya UN ā€˜sustainable development goal’. Focusing on goal number 8 policies za kukuza uchumi, kutengeneza ajira na kupunguza.

Binafsi nilikuwa naangalia role ya local banks kwenye kuchochea uchumi sub-Sahara Africa.

Nikaingia WB kuangalia unemployment rate nikakutana na hizo takwimu, I made sure the heard my annoyance on their feedback page, how can they publish such obvious cocked data. Wakanitumia links zingine haven’t checked them yet.

That’s bullshit nchi kama US na developed nations target ya unemployment ni 4.5% halafu Burundi eti unemployment 1.5% that’s what got me pissed.
Tatizo ni kwamba Wao pia Wanatumiwa Data..
So inawezekana Nchi mahalia Imewapa Data Zisizo za Kweli ili ziwe published.

So kama Unaweza Unaweza kwenda Kwenye Ofisi za Takwimu za Tanzania Watakupa Hizo hizo ambazo wamezituma Huko WB..Tatizo la Kuchezea Data Nalijua Sana..sana sana kwa Nchi zetu kama Tanzania Nimewahi kufanya Research nyingi sana zingine zilizuiwa Kuwa Published kwa sababu zilipingana na Data Zilizopo Serkalini..
So Naelewa Unachokisema
 
CCM inazidi kuumbuliwa mchana kweupe na kuzidi kuipandisha chart CHADEMA.
Akiwa Beijing, China kwa ziara ya siku 5, raisi wa Kenya amenukuliwa akisema kwama "Tofauti yetu na majirani zetu ni kwamba Kenya ipo kwenye kundi la watu wenye kipato cha kati, huku Tanzania, Uganda na nyingine ziko kwenye nchi zenye maendeleo duni. Wanauza nje bila ushuru, Kenya inalipa ushuru"

Huu ni ukweli usiopingika kwani nchi yetu licha ya kuwa na rasilimali kedekede uchumi wake umekuwa ukinufaisha wana CCM wachache huku Watanzania wengi wakitaabika na kuishi kwenye umaskini ulio kubuhu.

Sera za uchumi ni mbovu na pesa za umma zinatumiwa kiholela, ubadhirifu wa kutisha huku watuhumiwa wakiendelea kudunda mitaani na minoti ya kutisha.

View attachment 3314928

Soma zaidi: Diplomatic goof: Ruto's remarks risk deepening Kenya's isolation
Facts Facts 1 Kshs=20Tzshs
200Kshs= 4000Tshs Approximate
Hakika Hivi wangepata Mt.Kilimanjaro kenyašŸ˜•
 
Porojo, umeandika kishabiki kabisaaa.,
Let's break down: kama wewe ni mkweli, weka takwimu hapa ya kila sector..,
What is the revenue income ya Tanzania vs ya Kenya in ports?
Banking sector., pato la tanzania vs Kenya?
Transport and communication je?
Agriculture?
Real estate income?
Hotel industry?

Haya weka hapa total annual revenue collection by TRA vs KRA.., yaani pato ya three counties in Kenya inaweza kua zaidi ya pato ya Tanzania yoote kwa mwaka..,
kuna vigezo vingi ambazo zinaweza kudhibitisha Tanzanio bado ina lag behind Kenya by far., pia ikija idadi ya mafukara wa kutupwa.., Tanzania inaongoza ukanda huu.,
Kiongozi hizo data unazotaka ukienda kwenye website ya national statics za Kenya na Tanzania utapata if you want to compare.

Mimi sipo huko nimeandika general na kuangalia largest exports, Tanzania ina export more kushinda Kenya.

Isitoshe sehemu kubwa ya information unazotaka zinafall under services sector na nimesema Kenya inatuzidi almost 55% ya GDP yao ni services.
 
Hii ni mindset ya Wakenya tu, they believe tupo nyuma mno, ila wakija hubaki wakishangaa.

Wote tupo kwenye middle income, hii anavyofanya yeye ni ujinga tu
Mkuu tupo nyuma Sio uongo KwanziĆ  kisiasa na kiuchumi usipinge ukweli kwani imekuwaje Wao Ela yao inadhamani kulikl yetu??
 
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Cote d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
 
Tatizo ni kwamba Wao pia Wanatumiwa Data..
So inawezekana Nchi mahalia Imewapa Data Zisizo za Kweli ili ziwe published.

So kama Unaweza Unaweza kwenda Kwenye Ofisi za Takwimu za Tanzania Watakupa Hizo hizo ambazo wamezituma Huko WB..Tatizo la Kuchezea Data Nalijua Sana..sana sana kwa Nchi zetu kama Tanzania Nimewahi kufanya Research nyingi sana zingine zilizuiwa Kuwa Published kwa sababu zilipingana na Data Zilizopo Serkalini..
So Naelewa Unachokisema
Huo ndio utaratibu wao wanapewa data na ofisi za takwimu za nchi.

Kilichoniboa surely wachumi huko WB na statistician shouldn’t believe that. WB is supposed to be a reputable or credible source of reference kwenye maandishi ya uchumi.

Sasa kuchapisha takwimu ambazo ni wazi nchi kama Tanzania nafasi mia zikitangazwa unaweza jaza uwanja wa mpira kwa candidates halafu useme unemployment ni below 3% that’s just an insult to people’s intelligence bora wasiweke.
 
Mkuu tupo nyuma Sio uongo KwanziĆ  kisiasa na kiuchumi usipinge ukweli kwani imekuwaje Wao Ela yao inadhamani kulikl yetu??
Ni ukweli ambao wengi hawataki kuusikia, licha ya potential tulionayo kama nchi ndio hivyo tena viongozi wanatuangusha sana
 
Hawana rasiliamali tulizonazo kweli ila mbona ela yetu haina kiwango chao 1kshs = 20Tshs..Shilling moja ya Tanzania itakuwa shingapi kenya?
Ndio maana nikamjibu huyo zoba atambue kuwa uchumi wetu ulipaswa kuwa juu zaidi ya Kenya Kwa rasilimali tulizonazo!
 
Ni ukweli ambao wengi hawataki kuusikia, licha ya potential tulionayo kama nchi ndio hivyo tena viongozi wanatuangusha sana
Facts Facts Mkuu Viongozi wakiamua mbona na sisi tutaeleweka... Mfano Mt.Kilimanjaro ipo Moshi Ila soko la Maimoria Ukiingia kipindi cha mvua ni aibu hata stand ya kilimanjaro haiendani na kusema tunamlima Kilimanjaro Highest FREE STANDING IN THE WORLD ni Aibu kwa hao viongozi
 
Kiongozi hizo data unazotaka ukienda kwenye website ya national statics za Kenya na Tanzania utapata if you want to compare.

Mimi sipo huko nimeandika general na kuangalia largest exports, Tanzania ina export more kushinda Kenya.

Isitoshe sehemu kubwa ya information unazotaka zinafall under services sector na nimesema Kenya inatuzidi almost 55% ya GDP yao ni services.
Largest not total? coz ikija total exports, iwe kubwa ama ndogo tukijumuisha, Kenya imeizidi Tanzania..., data zipo.., total exports za Kenya in East Africa pekee ni zaidi ya Tanzania, ikija Kenyan companies investments in East African countries, za Kenya ni mingi by far, kutokea banks to manufacuring.., Kenya imewekeza East Africa zaidi ya nchi yoyote ukanda huu..., ina maana uchumi wenu ukipanda na wa nchi zingine East Africa, Kenya inapanda zaidi, due to investments in those countries. Kwa mfano umeona revenue ya Equity Bank DRC branch kweli? ama total? hakuna biashara yoyote Tanzania iko na pato kama ya Equity.., na bado sijataja Safaricom, ambao waliingia Ethiopia kwa kishindo..., kaka elewa uchumi
 
Facts Facts Mkuu Viongozi wakiamua mbona na sisi tutaeleweka... Mfano Mt.Kilimanjaro ipo Moshi Ila soko la Maimoria Ukiingia kipindi cha mvua ni aibu hata stand ya kilimanjaro haiendani na kusema tunamlima Kilimanjaro Highest FREE STANDING IN THE WORLD ni Aibu kwa hao viongozi
Sure kiongozi, tunakosa Uongozi bora na siasa safi ila ujinga huu ukikoma TZ ni nchi nzuri na tajiri sana
 
Ndio maana nikamjibu huyo zoba atambue kuwa uchumi wetu ulipaswa kuwa juu zaidi ya Kenya Kwa rasilimali tulizonazo!
ukweli ndio unachukiwa hapa Kwetu Mkuu.. Ila Mtanzania Hawezi kudhubutu kusimama hadharani kusema mbona Hatuelewi mali ni nyingi kuliko majirani alfu majirani wanaelewa kuliko sisi watupe Jibu Ni Ujinga wao wa akili ama wanaeka mali Bondi
 
Sana, Kenya wapo very aggressive sana kwenye uchumi na wametutangulia sana hilo halipingiki
 
Back
Top Bottom