Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru

Endeleeni kujifariji kwa kauli ya Rais wa hovyo ambaye wananchi wake hawamtaki. Ruto ni Rais asiyejua diplomasia kabisa.
kenya Iko huru,sisi ni watumwa haturuhusiwi kuandamana,kwa hiyo huwezi kulinganisha nchi ya watumwa na nchi ya waliohuru
 
Yupo sahohi kabisa.. Bidhaa au tembelea maduka ya chakula hasa mikoa ya Tanzania iliyopakana na kenya bidhaa utaona maduka yamejazwa kwa bidhaa zote ni kutoka viwanda vya kenya.

Hata wakiwatukana ni halali yao.

ni
Tanzania acheni kiburi na ubabe. Watanzania viwanda vyao ni dola kuteka na kuvunja watu miguu. Ukweli utabaki kuwa ukweli
 
Hapa anaongelea trading kati ya Tanzania na Kenya ila when it comes to size of economy Kenya wapo mbali sana......tembea uone
Economy is all about trading, you cant get a GDP figure without doing exports and imports calculations
 
nenda kale kwanza
 
Economy is all about trading, you cant get a GDP figure without doing exports and imports calculations
Bring those GDP figure to justify your statement. the economy is not solely about trading. While trading plays a significant role, the economy encompasses a wider range of activities related to the production, distribution, and consumption of goods and services. Trading, particularly international trade, involves the exchange of goods and services across borders, but this is just one aspect of the overall economic system
 
Everything that has to do with GDP is all trading, from consumptions investment everything is trading leave alone exports and imports! hakuna charity kwenye GDP wala ela za msaada
 
Everything that has to do with GDP is all trading, from consumptions investment everything is trading leave alone exports and imports! hakuna charity kwenye GDP wala ela za msaada
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…