Ruto asimpige Odinga atachoka tu

Ruto asimpige Odinga atachoka tu

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kwa akili ya haraka haraka yes Maandamano yanarudisha nyuma nchi lakini RAILA ODINGA ni tatizo kwa kenya.

Yes kuna mambo aliyapigania hapo nyuma wakapata katiba mpya lakini kwa wakati huu alitakiwa kumuunga mkono RUTO ili aiongoze Kenya kwa amani.

ODINGA anafanya fujo ili akipigwa aitwe IKULU iapate kitu yale yale ya UHURU na ODINGA..

KAMA RUTO atanyamaza asiwapige waandamanaji ndani ya wiki mbili wao wenyewe watachoka kwa sbb ya njaa.

Huwezi kuacha kazi yako kila siku upo barabarani bila sababu. Ni kweli vitu vimepanda bei lakini nchi nyingi zimeadhirika na vita ya UKRAINE NA RUSSIA

Kwa hiyo RAIS RUTO akae kimya aendelee na mambo yake wataacha soon wenyewe.

Pia haya maandamano yanatuadhiri pia Tanzania. Watalii wengi hupitia KENYA kuja Mlima Kilimanjaro
 
Raila ni mhuni.

Uchaguzi wa Kenya ulikua huru na WA wazi sana .

Na Kwa upumbavu wa Raila alikaa kimya baada ya hukumu ya mahakama mpaka Ruto akaapishwa . Sasa anataka afanye mapinduzi ya kis#ng€ . Hivi anafikiri Ruto Hana watu wa kuandamana ? Pumbavu zake.

Ruto tumia Dola vizuri Kwa sababu amani ikitoweka Kwa maandamano nchi itagawanyika kikabila na amani itatoweka.

Wazungu wanataka Kenya wawe mashoga au wauane Kwa vurugu.
Lengo la Raila ni kupindua nchi ili atangaze kuwa Kenya ni Taifa la mashoga. Hii haikubaliki . Waafrika na majirani wa Kenya tupo pamoja na President Ruto Kwa sababu amechaguliwa kihalali na uchaguzi kusifiwa Dunia nzima . Hatutaki siasa za kihuni na za kikabila ziendelee Kenya na Afrika nzima
 
Hawana akili hao watamalizana wao kwa wao.

Sasa mnaona na wengine wanaompenda mwingine wameamua kwenda kukata miti ya shamba la.Kenyatta
Hawa jamaa wakiendelea hivi wataharibu vitu vingi naona mpaka miundombinu sasa

Wangetulizana tu maana hii ni zaidi ya Siasa anayofanya Raila
 
Back
Top Bottom