zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
RAILA hawezi kufungwa!! Kama aliapishwa hakupewa kesa ya uhaini, walichinjana 2007 mbona hakufungwa?Hawezi kuanzisha fujo maana anajua atamalizia,Maisha yake jela kwani lazima atapelekwa The Hague (ICC). Nchi za,magharibi ambazo zimekita mizizi yake ya investment kenya haziwezi kukubali wasiendelee kunufaika kwa sababu ya tu mmoja.
Igathe pia hakua wa Raila ni mgombea wa Jubilee!! ODM haikua na mgombea maana wanyonyi alijitoa.Sakaja kumbe ni wa Raila?
Voter suppression ya Kakamega na Mombasa is a serious case, haiwezekani 40% wapige kura ya Urais kisa tu muhuni mmoja afute kura za Ugavana a day before.Naam uo ndiyo ukweli! Raila alichofanya ni kutafuta kila sehem wapi atapatia kaupenyo! Na sijaona wapi anaweza kushinda kwakweli.
Mkuu kama angetaka pesa za handshake si angeomba post serikalini kwani angenyimwa hata "uwaziri Mkuu" ?? Ili afuje pesa vizuri kwa miradi hewa!!hela nyingi aliiba kipindi cha KANu akiwa mkuu wa vijana wa chama walipewa kazi ya kusambaza mapesa mtaani kama rushwa hadi uchumi wa kenya ukaanguka in 1992
Ufisadi wote wanao unless hujui Rail alichukua mabilllions ya pesa kwenye handshake .......muacheni Rutto akapige kazi huyo Rail ashukuru tu Mungu maana hata uchaguzi ukirudiwa ashinde mwaka mmoja wanamuua kenya ipate Rais w kwanza mwanamke ambaye atakuwa anaendeshwa kwa remote control na uhuru kenyatta
Kura za Urais hapo Nairobi Odinga HAJAWAHI kuzidiwa na yeyote awe Kibaki au Kenyatta au Ruto!! Hiyo ni fact.Unajua
Unajua gavana WA nairobi ni nani? Acha kukariri
Raila na babake Jara.mogi waliishakaa jela ( kizuizini) muda mrefu tu enzi za Moi na Kenya ilitawalika. Waliachiwa on goodwill kwa kutambua mchango wa mzee wake (Jaramogi) katika kupigania uhuru wa Kenya na hususan kupigania kutolewa jela kwa, mzee Jomo Kenyatta na wakoloni.RAILA hawezi kufungwa!! Kama aliapishwa hakupewa kesa ya uhaini, walichinjana 2007 mbona hakufungwa?
RAILA akifungwa au kuuawa ndio utakua mwisho wa Kenya kutawalika, itakua vita isiyoisha ya kikabila. Kama ingekua rahisi hivyo Wakikuyu wangeshamuua tokea enzi za Moi huko.
Ndio Nasema mbona 2007 hakupelekwa the Hague? Kwani kipi alichofanya Ruto bila kupewa Baraka na Raila?Raila na babake Jara.mogi waliishakaa jela ( kizuizini) muda mrefu tu enzi za Moi na Kenya ilitawalika. Waliachiwa on goodwill kwa kutambua mchango wa mzee wake (Jaramogi) katika kupigania uhuru wa Kenya na hususan kupigania kutolewa jela kwa, mzee Jomo Kenyatta na wakoloni.
Nilichozungumzia mimi ni kupelekwa the Hague na hao hao wazungu sio kushtakiwa na Ruto ndani ya Kenya.
Hatujagawanyika kaka, mimi nimempigia Raila mara mbili na kati ya miaka kumi hio nimefaidi mengi kutoka kwa serekali ya Uhuru... Naamini itakua ni hivyo hivyo na serekali ya Ruto i.e Wale ambao hawakumpigia pia watafaidi na maisha yataendelea.... Wale ambao watabaki kushindana na kuchukiana ni wale ambao hawana la kufanya maishani, hata kama mtu wao angeshinda bado wangetafuta sababu ya kuendeleza chuki zao...Naona ni kama Kenya imegawanyika nusu kwa nusu Raisi atakaeshinda ana kazi ya kiwaunganisha Ndugu zetu Wakenya.
Hotep Bro.Hatujagawanyika kaka, mimi nimempigia Raila mara mbili na kati ya miaka kumi hio nimefaidi mengi kutoka kwa serekali ya Uhuru... Naamini itakua ni hivyo hivyo na serekali ya Ruto i.e Wale ambao hawakumpigia pia watafaidi na maisha yataendelea.... Wale ambao watabaki kushindana na kuchukiana ni wale ambao hawana la kufanya maishani, hata kama mtu wao angeshinda bado wangetafuta sababu ya kuendeleza chuki zao...
Mkuu kwa chuki hii itakuwa walikufeerah ama walikugongea foursome mama yako, mke wako na Binti Yako.Utakua Onyango wewe, nayachukia majaluo kupita kiasi.
Unakumbuka BBI? Kama ingefanikiwa na pia kama Raila angeshinda Kenyatta asingeondoka mikono mitupu bado angeendelea kuwa na nguvu fulani nyuma ya Odinga. Kusema kuwa wakati Raila anapanga kumpindua Moi Kenyatta alikuwa anakunywa bia night club ni kakashifu kwani sio lazima kila mtu wakati wote awe anafanya jambo linalofanywa na mwenzake. Wakati wa Moi Uhuru hakuwa interested na mambo ya siasa alikuwa anashughulika na biashara za familia. Moi katika kulipa fadhila kwa Mzee Jomo Kenyatta kwani bila yeye asingepata nafasi ya kuwa rais wa Kenya, aliamua kuirudisha KANU kwa Kenyatta na kumteua Uhuru kugombea urais kupitia chama hicho kinyume cha makubaliano waliyoafikiana na Raila wakati anawarudisha KANU kuwa mchakato wa kumpata mgombe urais kwa tiketi ya KANU utakuwa wa kidemokrasia; kitendo hicho ndicho kilichowaondoa Raila, Mwai Kibaki na wengine toka KANU mwaka 2003 na wakaungana kupambana na KANu na ili kugawa kura za Wakikuyu huku makabila mengine yakimuunga mkono mgombea wao, walimteua Kibaki ambaye niu mkikuyu ili apambane na Uhuru mkikuyu pia; plan hiyo ilifanikiwa na Kibaki akaukwaa urais.Ndio Nasema mbona 2007 hakupelekwa the Hague? Kwani kipi alichofanya Ruto bila kupewa Baraka na Raila?
Moi alijua nguvu ya Odinga ndio maana alimpa uongozi KANU na kama angebaki pamoja na wenzie kina Musyoka then KANU isingekufaga!!
Kusema Raila ni project ya uhuru ni dharau hiyo, hivi kweli Kenyatta utalinganisha na Raila kwa lipi? Wakikuyu tu wamemkataa Uhuru vipi umewahi ona Raila kasalitiwa na ngome yake hata siku moja?
kipindi Odinga anapanga njama za kumpindua Moi huyo Kenyatta alikua anakunywa pombe tu kwenye night clubs ndio Leo aje kumfanya Odinga proxy? Haiwezekani
William Ruto the assistant president of Venezuela kenyaNaam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi
Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika wangekuwa kwenye simu kupata malekezo kutoka juu imekuwa na mvuto hadi katika nchi yenye matatizo ya kuibia watu bando la internet
Naam Baba Raila byebye kwishney , mtaalamu wako wa IT bwana Njoroge kakusaliti vibaya sana ka mislead ma lawyers haswa miss soweto wakajichoresha mahakamani,Ruto hatari sana
View attachment 2343408View attachment 2343409View attachment 2343410