Kwani Ruto si alikuwa naibu Rais?-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake
-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP
-Njia Dharura ya Kuifinance GVT TAXATION
-Jarbu kuvaa viatu vya RUTO Kama mkuu wa Nchi
Ungefanyaje.
Alafu viongozi wenzake wamemgeuka yaani ni kama wamemuacha peke yake tu!-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake
-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP
-Njia Dharura ya Kuifinance GVT TAXATION
-Jarbu kuvaa viatu vya RUTO Kama mkuu wa Nchi
Ungefanyaje.
Usifananishe chura na vitu vya hovyo broChura kiziwi naye anatupeleka huko huko kwenye 70%
Dawa ni ku-Cut spending zisizo za lazima, mfano-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake
-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP
-Njia Dharura ya Kuifinance GVT TAXATION
-Jarbu kuvaa viatu vya RUTO Kama mkuu wa Nchi
Ungefanyaje.
Miki najiuliza, hizi pesa wanapeleka wapi wakati tunaambiwa miradi kama SGR imekwama kwa kukosa pesa?Alikua makamu wa Raisi kila kitu alikijua tamaa yake ya madaraka ndio inamtokea puani lakini hata huku yawezekana kabla hata ya uchaguzi wa mwakani chura kiziwi akawa amepita kiwango cha kukopa na hakuna cha msingi anacho fanya
Vipi kuhusu kuokoa matumizi mabovu ya kodi na mikopo wanayochukua?Ruto yuko sawa. Yeye anaataka deni wanalodaiwa lipungue na ili lipungue sharti wananchi walipe kodi. Yuko sawa kabisa.
Chadema wakat wanaandaman ulikuwa wapi?Watanganyika nasi tupambane kumtoa chura kiziwi,wakati ni huu
naibu wa rais kivuli hasa awamu ya pili ya uongozi wao na Uhuru Kenyata,Kwani Ruto si alikuwa naibu Rais?