Ruto kaachiwa jumba bovu

Ruto kaachiwa jumba bovu

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake

-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP

-Njia ya Dharura ni Kuifinance GVT TAXATION

-Jarbu kuvaa viatu vya RUTO Kama mkuu wa Nchi
Ungefanyaje.
 
-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake

-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP

-Njia Dharura ya Kuifinance GVT TAXATION

Kwani Ruto si alikuwa naibu Rais?
 
Alafu viongozi wenzake wamemgeuka yaani ni kama wamemuacha peke yake tu!
Kama vijana watakaza zaidi wanaweza kumuondoa kwa shinikizo la kumtaka ajiuzuru..
 
Alikua makamu wa Raisi kila kitu alikijua tamaa yake ya madaraka ndio inamtokea puani lakini hata huku yawezekana kabla hata ya uchaguzi wa mwakani chura kiziwi akawa amepita kiwango cha kukopa na hakuna cha msingi anacho fanya
 
-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake

-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP

-Njia Dharura ya Kuifinance GVT TAXATION

-Jarbu kuvaa viatu vya RUTO Kama mkuu wa Nchi
Ungefanyaje.
Dawa ni ku-Cut spending zisizo za lazima, mfano

1.) kutofanya safari za nje, badala yake atume balozi na ashoriki kwa video conferencing

2.) Kutonunua mashangingi mapya kila mwaka, badala yake yakarabatiwe yaliyopo yawe katika hali nzuri, na kila mtumishi aweke mafuta mwenyewe ili kupunguza matumizi, mtumishi atakayeshindwa apande daladala na ahalikisje hachelewi kazini

3.) Kubana mianya ya wizi wa pesa za kodi za serikali

Inshort Serikali iwe ‘Frugal’ kwenye matumizi ya pesa, na pia ibane upotevu na wizi
 
Alikua makamu wa Raisi kila kitu alikijua tamaa yake ya madaraka ndio inamtokea puani lakini hata huku yawezekana kabla hata ya uchaguzi wa mwakani chura kiziwi akawa amepita kiwango cha kukopa na hakuna cha msingi anacho fanya
Miki najiuliza, hizi pesa wanapeleka wapi wakati tunaambiwa miradi kama SGR imekwama kwa kukosa pesa?
 
Kwani Ruto si alikuwa naibu Rais?
naibu wa rais kivuli hasa awamu ya pili ya uongozi wao na Uhuru Kenyata,

kupitia executive orders mbalimbali, naibu wa rais William Samoe Ruto alipokwa majukumu yake ya msingi kumsaidia Rais, na akapewa jamaa moja alikua very powerful ambae alikua ni
interior cabinet Minister wakati huo Fred Okengo Matiang'i 🐒
 
Back
Top Bottom