Ruto kaachiwa jumba bovu

Alafu viongozi wenzake wamemgeuka yaani ni kama wamemuacha peke yake tu!
Kama vijana watakaza zaidi wanaweza kumuondoa kwa shinikizo la kumtaka ajiuzuru..
Siku zote

Mazuri yetu sore

Mabaya ya kwako mwenyewe
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Karma at its best
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Zambia,Ghana na Ethiopia wao wamefanyaje? Kwani hawajafika huo ukomo? Harafu Kuna shida gani kuongeza ceiling ya ukomo? Mbona Nchi nyingi zinafanya hivyo? Angola hapo deni ni 130% ya GDP.

My Take: Hilo jumba bovu amelijua Sasa hivi baada ya Kushindwa vibaya? Haya hakuyanua wakati anaba kura? πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

Kama huna akili usiombe Uongozi na usiwajaze watu matarajio ambayo hayapo.

Ndio maana namkubali Samia ,alishakataa kuwapa watu matarajio ambayo hayapo na pia aliwaambia alipokea jumba bovu kutoka Kwa Mwendazake ila mlikaza shingo.
 
Alikua makamu wa Raisi kila kitu alikijua tamaa yake ya madaraka ndio inamtokea puani lakini hata huku yawezekana kabla hata ya uchaguzi wa mwakani chura kiziwi akawa amepita kiwango cha kukopa na hakuna cha msingi anacho fanya
Yeye kuwa makamu wa raisi hawezi kumzuia raisi asikope. Huenda aliamshauri njia zingine ila hakusikilizwa. Je, angefanya nini zaidi?
 
Ruto yuko sawa. Yeye anaataka deni wanalodaiwa lipungue na ili lipungue sharti wananchi walipe kodi. Yuko sawa kabisa.
Kama matokeo ya kukopa ndo hayo ya kuwakamua wananchi basi serikali isiwe inakopa maana hayo ni matokeo ya kuwa mikopo iliyokopwa haikuwa na tija katika kuzalisha na kuleta maendeleo kwa wananchi kinyume chake ni kuwa mafisadi ya serikalini yamejichotea fedha za umma matokeo yake ndo hayo
 
Ruto kila siku kiguu na njia anatumia pesa nyingi kwa safari zisizokuwa na maana,
Punguza matumizi ya Serikali ndio suluhisho zuri na sio taxation
 
Yeye kuwa makamu wa raisi hawezi kumzuia raisi asikope. Huenda aliamshauri njia zingine ila hakusikilizwa. Je, angefanya nini zaidi?
Nilicho maanisha ni kwamba alijua anaenda kuchukua nchi ikiwa kwenye Hali gani na tangu mwanzo alionekana alitaka zaidi madaraka bila ya kujua atafanya nini baada ya kuyapata
 
Mkuu usichukulie urais ni kama civil engineering πŸ˜†πŸ˜…πŸ€›πŸΏ
 
point
 
Nitawambia wananchi ukweli kwamba tunafunga mikanda Kwa muda unajulikana, mfano tunafunga mkanda Kwa muda wa miaka2
 
Samia 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…