Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
🤔🤔🤔🤔Ruto yuko sawa. Yeye anaataka deni wanalodaiwa lipungue na ili lipungue sharti wananchi walipe kodi. Yuko sawa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔🤔Ruto yuko sawa. Yeye anaataka deni wanalodaiwa lipungue na ili lipungue sharti wananchi walipe kodi. Yuko sawa kabisa.
Siku zoteAlafu viongozi wenzake wamemgeuka yaani ni kama wamemuacha peke yake tu!
Kama vijana watakaza zaidi wanaweza kumuondoa kwa shinikizo la kumtaka ajiuzuru..
🤔🤔🤔🤔🤔Uhuru Kenyatta is very happy on what is going on in Kenya 🐒
aliwahi kusema na kusisitiza mara kadhaa kwamba Rais wake ni Raila Odinga na si vinginevyo.
Lakini kumbuka pia vijana hawa hawa, ikasemekana wanapewa nguvu na wakiwa nyuma ya naibu wa Rais wa sasa ndugu RigG, walichochewa kuvamia shamba la Uhuru Kenyatta, kuharibu mazao, kuiba na kupora mali mbalimbali kama vile kondoo, mbuzi, bata, kuku n.k mali ya familia ya Uhuru kwahivyo kinachotokea ni kama vile anafurahi,
na angependelea mambo yaende zaidi yalivyo, ilikusudi mali na biashara za Ruto nazo zifikiwe, ziporwe na kuharibiwa zaidi kama vijana walivyofanya kwake 🐒
🤔🤔🤔🤔Huwezi ongoza nchi kwa aman ikiwa rais mstaafu hauelewani nae hata yule bwana yalimkuta hayohayo kule cuba kujifanya kukaza fuvu
Lakini ruto mchezo anauelewa ngoja tuone japo ana kibarua kizito maana kwa sasa hata naibu wake anaucheki mchezo kwa mbali hatii neno
Zambia,Ghana na Ethiopia wao wamefanyaje? Kwani hawajafika huo ukomo? Harafu Kuna shida gani kuongeza ceiling ya ukomo? Mbona Nchi nyingi zinafanya hivyo? Angola hapo deni ni 130% ya GDP.-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake
-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP
-Njia ya Dharura ni Kuifinance GVT TAXATION
-Jarbu kuvaa viatu vya RUTO Kama mkuu wa Nchi
Ungefanyaje.
Ngoja awe historia kabla ya mudaAlitaka kuandika historia
Jamaa kasema anawalia ngumu au sio waungwana🤔🤔🤔🤔
Yeye kuwa makamu wa raisi hawezi kumzuia raisi asikope. Huenda aliamshauri njia zingine ila hakusikilizwa. Je, angefanya nini zaidi?Alikua makamu wa Raisi kila kitu alikijua tamaa yake ya madaraka ndio inamtokea puani lakini hata huku yawezekana kabla hata ya uchaguzi wa mwakani chura kiziwi akawa amepita kiwango cha kukopa na hakuna cha msingi anacho fanya
Kama matokeo ya kukopa ndo hayo ya kuwakamua wananchi basi serikali isiwe inakopa maana hayo ni matokeo ya kuwa mikopo iliyokopwa haikuwa na tija katika kuzalisha na kuleta maendeleo kwa wananchi kinyume chake ni kuwa mafisadi ya serikalini yamejichotea fedha za umma matokeo yake ndo hayoRuto yuko sawa. Yeye anaataka deni wanalodaiwa lipungue na ili lipungue sharti wananchi walipe kodi. Yuko sawa kabisa.
Nilicho maanisha ni kwamba alijua anaenda kuchukua nchi ikiwa kwenye Hali gani na tangu mwanzo alionekana alitaka zaidi madaraka bila ya kujua atafanya nini baada ya kuyapataYeye kuwa makamu wa raisi hawezi kumzuia raisi asikope. Huenda aliamshauri njia zingine ila hakusikilizwa. Je, angefanya nini zaidi?
Mkuu usichukulie urais ni kama civil engineering 😆😅🤛🏿Dawa ni ku-Cut spending zisizo za lazima, mfano
1.) kutofanya safari za nje, badala yake atume balozi na ashoriki kwa video conferencing
2.) Kutonunua mashangingi mapya kila mwaka, badala yake yakarabatiwe yaliyopo yawe katika hali nzuri, na kila mtumishi aweke mafuta mwenyewe ili kupunguza matumizi, mtumishi atakayeshindwa apande daladala na ahalikisje hachelewi kazini
3.) Kubana mianya ya wizi wa pesa za kodi za serikali
Inshort Serikali iwe ‘Frugal’ kwenye matumizi ya pesa, na pia ibane upotevu na wizi
pointWakiwa kwenye kampeni wanawaza starehe na kuiba tu. Wanawadanganya wapiga kura eti wataleta pepo duniani
Angalizo kwa lissu asithubuti wapa ahadi hewa vijana na atamani kile kiti kwa Nia ya kuwatumikia watu siyo kuiba kamaruto
Ccm wamefika mwisho, watajifanya waungwana wamwachie mpinzani jumba bovu kama ruto. umakini unatakiwa
Hv huyo chura kiziw ni nan ?Chura kiziwi naye anatupeleka huko huko kwenye 70%
Nitawambia wananchi ukweli kwamba tunafunga mikanda Kwa muda unajulikana, mfano tunafunga mkanda Kwa muda wa miaka2-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake
-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP
-Njia ya Dharura ni Kuifinance GVT TAXATION
-Jarbu kuvaa viatu vya RUTO Kama mkuu wa Nchi
Ungefanyaje.
Samia 2025Zambia,Ghana na Ethiopia wao wamefanyaje? Kwani hawajafika huo ukomo? Harafu Kuna shida gani kuongeza ceiling ya ukomo? Mbona Nchi nyingi zinafanya hivyo? Angola hapo deni ni 130% ya GDP.
My Take: Hilo jumba bovu amelijua Sasa hivi baada ya Kushindwa vibaya? Haya hakuyanua wakati anaba kura? [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kama huna akili usiombe Uongozi na usiwajaze watu matarajio ambayo hayapo.
Ndio maana namkubali Samia ,alishakataa kuwapa watu matarajio ambayo hayapo na pia aliwaambia alipokea jumba bovu kutoka Kwa Mwendazake ila mlikaza shingo.