Ruto kajifunza Maridhiano the hard way, nasi hatuna budi

Hahahahaha kuolewa na Wanajeshi??
Eeh kwa akili hizi na uoga sijui tunatengeneza kizazi gani huko mbeleni. Watu hawataki kusimamia haki zao na kupambana kuzipata wanataka wapambaniwe.

Watu wa aina hio wana tofauti gani sasa na wanawake wanaotegemea kuolewa ili walishwe? 🤣
 
Ndio maana vijana wanakimbilia kwenye ushoga...inafikirisha sana
 
Waswahili walisema kusikia kwa kenge ni tofauti sana na viumbe wengine wote:

View attachment 2578398

Hata sisi hatuna namma nyingine kama ni nia yetu ya dhati kusikika.

View attachment 2579151

Kwamba ni ripoti za CAG? Kwamba ni wahalifu sugu kuachiwa lakini si wanaoshikiliwa kisiasa?

View attachment 2579150

Bado tungependa tunayosema kucha kutwa yaweze hatimaye kusikika? Kwa namma hii ya kupiga makelele tu? Kwa hakika kama ni magonjwa, tutakuwa na Magonjwa Mtambuka!

--------------

Ruto anapojifunza maridhiano kwa maandamano​

ruto-pic.jpg

Jumapili, Aprili Pili, 2023, jua la Magharibi, Rais wa Kenya, William Rutto, alitoa hotuba ya kumwomba Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga na timu yake ya Azimio la Umoja One Kenya, kusitisha maandamano.

Wakati Ruto akitoa ombi hilo kwa Raila na Azimio, tayari hali ilishakuwa mbaya. Watu watatu walishapoteza maisha kutokana na maandamano yaliyoitishwa na Raila. Mali za watu ziliharibiwa na kuporwa na waandamanaji bandia. Biashara zilisimama na kuharibiwa.

Nyumba za ibada zilichomwa moto, kuna watu waliteka gari la polisi na kutokomea nalo Oyugis, Homa Bay. Watu zaidi ya 400, waliripotiwa kujeruhiwa, wengine majeraha yakiwa mabaya mno. Tamko lilikuwa maandamano ya amani, ila vitendo havikuakisi amani. Polisi walipotaka kutumia nguvu kudhibiti, machafuko yakawa makubwa. Polisi walikufa na kujeruhiwa.

Ombi la Ruto kwa Raila lilikuwa, maandamano yasitishwe ili kuruhusu mazungumzo ya vyama bungeni katika madai ambayo aliyatoa na kuyatumia kushawishi maandamano nchi nzima, vilevile na yeye (Ruto), milango yake ipo wazi kukutana na kiongozi huyo wa upinzani.
Saa moja baadaye, Raila alijibu hotuba ya Ruto kwa kutoa tamko la kusitisha maandamano ili kuruhusu mazungumzo ya vyama kuchukua nafasi. Vilevile kuheshimu mfungo wa mwezi wa Ramadhan, Kwaresma na ujio wa Pasaka.

Raila alisema, kama mazungumzo hayataleta matunda, watarudi tena kwenye maandamano baada ya wiki moja. Hivyo, aliomba wananchi wasiendelee na maandamano kupisha nafasi ya mazungumzo.
Kiini cha maandamano; Raila alikuwa na hoja mbili. Mosi, ikiwa ni manung’uniko ya kutotendewa haki kwenye Uchaguzi Mkuu Kenya uliofanyika Agosti 9, 2022 na mazingira yake. Pili, ni kupaa kwa gharama za maisha.

Awali, Raila alitoa muda wa siku 14, Ruto kushughulikia malalamiko hayo. Kipindi hicho alichokitoa kilipopita pasipo maombi aliyoyatoa kushughulikiwa, ndipo aliitisha maandamano na yakaitikiwa.

Nyakati za mwanzo za maandamano, ungemwona Ruto akihutubia makundi ya watu, akicheka na kufanya mzaha kuwa Raila amwache arekebishe nchi kwa sababu mapatano yake na Rais mstaafu, Uhuru Kenyatta, ndiyo yaliyoharibu nchi.

Naibu Rais, Rigathi Kachagua, alikuwa mkali. Alisema, Raila aliitisha maandamano kumtisha Ruto ili waketi na kugawana mamlaka ya kuongoza, kama ilivyokuwa wakati wa Rais wa pili, Daniel Moi, Rais wa tatu, Mwai Kibaki na Uhuru.

Rigathi alisema, Ruto na yeye sio watu wa kutishwa. Aliongeza kuwa Uhuru, mtoto wa Rais wa Kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta, amekuzwa kwa virutubisho vya kiwandani (cerelac), ndio maana alipotishwa na Raila, aliketi wakazungumza.

Si hivyo tu, Rigathi aliahidi kuwa hata siku ambayo Ruto angekubali kukutana na Raila, yeye (Rigathi), angekwenda Ikulu ya Kenya na kuzuia mageti yote, kuhakikisha kiongozi huyo wa upinzani, hapati nafasi ya kupeana mkono na bosi wake.

Kinachotokea sasa, ni tofauti mno na mtazamo wa Ruto na tambo za Rigathi. Dirisha la mazungumzo limefunguliwa. Muhimu zaidi, aliyeomba ni Ruto. Kisha Raila akapokea. Rigathi akampongeza bosi wake kwa uamuzi wake wa busara.

Source: Mwananchi

"Ruto anapojifunza maridhiano kwa maandamano"

La Sabaya ni sawa na la Mbowe, zote chanzo chake ni tofauti kuwa Sabaya kashinda kesi yake, imesikilizwa mwanzo hadi mwisho.

Mbowe bahati yake ni Rais kaamua amsamehe kwa huruma yake tu.

Ila zote mbili zinamhusu ole Sabaya, ngoja nikupe.

Utakumbuka ushahidi wa tigopesa ulikuta Mbowe karushia makamandoo watatu hela za nauli na posho waende Moshi kumuua Mkuu wa,Wilaya ole Sabaya?

Ukaja ushahidi Afande "Homeboy" Urio aombwe na Mbowe amtafutite kwa siri makomandoo wamuue ole Sabaya?

Ukaja ushahidi wa Afande Jumanne na Kamanda Kingai kuwakamata wauaji wakiwa safarini kwenda kutekeleza misheni yao, wakapita kunywa mbege Rau Madukani ndipo wakakamatwa?

Kwa vile misheni yao haikufanikiwa, ole Sabaya aliponea chupuchupu kuuliwa lakini bado yuko hai. Si ndipo Mama kwa huruma yake kama Mama kuona bora amsaheme Mbowe yaishe ila asirudie tena?

Hii haiongelewi sana lakini ukweli ndiyo huu.
walijuaje kuwa makomando wanaenda muua Sabaya? na uthibitisho ni upi kuwa Mbowe kawatuma ? kwamba Makomando ndo wakunywa pombe kwanz kabla ya kufanya mission yao ? ( kwa common sense sidhan Commando anaeza kuwa hivyo labda unifungue ubongo kdg )
 
Tafauti ya Kenya na Tanzania si jinsi ya wananchi wanavyogughulika na "watawala", tofauti yetu kubwa ni Ukabila.

Kenya wana serkali ya Majimbo, essentially ya makabila. Raila Odinga ni Mjaluo, kwao ni njimbo la Nyanza, makao yake makuu Kisumu. Gavana (Rais) wa Nyanza ni Okot Nyongo, Mjaluo. Mbunge wa Kikabila (Senator) ni James Orengo, Mjaluo. Kila mtu ni O, O, O, wote wajaluo. Idadi yao si wengi sana, ni kama 19% ya Kenya. Kabila zingine hivo hivo:Waluhya 23%, Wakikuyu 20% Kalenjin 21%. Unahitaji kabila 3 walau ili utawale kikabila kama hii Orange au Azimio in Wajaluo na wengine kwa majina (Kalonzo Mkamba; Martha Karua Kikuyu, na Oparanya mluhya lakini O na mabaki ya Waarabu wachache Mombasa).

Siasa za Kenya pia ni za kimila, kuchanjiana damu, liwalo na liwe, hatutaki hatutaki, wako tayari kufa. Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa Jomo Kenyatta, Mkikuyu, baba yake Uhuru aliongoza mapambano dhidi ya wakoloni kwa kundi la MAUMAU, kwa kuchanjiana. Makamu wake alikuwa Jaramogi Oginga Odinga, Baba yake Raila, walikuwa hivi hivi. Wajaluo wako hata Tanzania, wachache zaidi ni wagomvi wagomvi, kila mji mkubwa mkubwa utawakuta na kota zao, Nairobi wako Kibera na Mathare. Kwa vile amri ni ya kikabila na amri imeshatolewa tangu zamani za Oginga mkubwa, Kenya hakuna amani hadi leo. Nia yao ni kuungana na makabila jirani makubwa kama Waluhya au madogo kama Wadigo wa Pwani.

Ndiyo maana Raila si msumbufy tu bali kweli anaweza kuleta vurugu asipothibitiwa, nadhani ndiko kunakoenda, itabidi nguvuvza kijeshi zitumike na Jeshi la Marekani liko Pwani likisubiri.

Sisi hatuna ukabila kama huo. Hiyo ndiyo tafauti yetu. Hatuna kitu kinachoitwa "wananchu" wala kinachoitwa "watawala" kwa misingi ya kikabila kama hizo O O O O za Raila. Watawala wao ni mwendelezo huo O O O katika serkali za kikabila wakiita majimbo.

Sisi ni Watanzania, Taifa kubwa lililoungana tangu Bukoba hadi Mikindani, tangu Pemba hadi Rukwa, Tangu Arusha hadi Meya, Kigoma hadi Bagamoyo. Watawala wetu ni Wazanzibari na Wahehe na Wahaya na Wachagga. Hatubaguani.

Sisi tuna Wakristu rasmi, Waislamu na Wapagani lakini tunapendana, Mufti wanafunga na Kardinali kuombea gonjwa la Covid Kenya wana makanisa ya mfukoni, kila mtu ana Askofu wake au Nabii wake, Raila ana ya kwake na Kenyatta ana yake kila mtaa na kila mkutano kuna Askofu mwanamke au mwanaume.

Cha kuogopa sisi ni hawa CHADEMA na siasa zao za Kenyakenya. Ukabila wao utaukuta diaspora kila mji wafanya biashara wa hardware na bar lakini ni wachache - kwao wachache na miji mikubwa ni wachache.

CHADEMA wangependa kabisa wawe kama Raila kwa vikundi vikundi vya kikabila wanataka kila kitu lakini idadi haitoshi.

Hata kwao nyumbani wameshajulikana nia, wamekataliwa hawana Mbunge hata mmoja, hadaa hadaa za mwanzo walikuwa 100% ndipo wakajiuliza kulikoni.

Kwa hiyo usitulinganishe na Kenya, ni sawa na mchana kutwa kweupe ni usiku wa kiza kweusi.

Mkuu ulichoandika hapa ni kituko.

Kwamba Kenya inatawaliwa kimajimbo? Kwamba Kenya inatawaliwa kikabila? Kwamba Ruto kafikishwa kwenye maridhiano haya ya dhati na kabila?

Kwamba kina Uhuru, Karua, Musyoka nk wanaomuunga mkono Raila wote ni wajaluo?

Waandika ukitiririka tu bila source, facts, Wala uhalisia kutokea ofisi ipi hapo Lumumba mkuu?
 
Waswahili walisema kusikia kwa kenge ni tofauti sana na viumbe wengine wote:

View attachment 2578398

Hata sisi hatuna namma nyingine kama ni nia yetu ya dhati kusikika.

View attachment 2579151

Kwamba ni ripoti za CAG? Kwamba ni wahalifu sugu kuachiwa lakini si wanaoshikiliwa kisiasa?

View attachment 2579150

Bado tungependa tunayosema kucha kutwa yaweze hatimaye kusikika? Kwa namma hii ya kupiga makelele tu? Kwa hakika kama ni magonjwa, tutakuwa na Magonjwa Mtambuka!

--------------

Ruto anapojifunza maridhiano kwa maandamano​

ruto-pic.jpg

Jumapili, Aprili Pili, 2023, jua la Magharibi, Rais wa Kenya, William Rutto, alitoa hotuba ya kumwomba Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga na timu yake ya Azimio la Umoja One Kenya, kusitisha maandamano.

Wakati Ruto akitoa ombi hilo kwa Raila na Azimio, tayari hali ilishakuwa mbaya. Watu watatu walishapoteza maisha kutokana na maandamano yaliyoitishwa na Raila. Mali za watu ziliharibiwa na kuporwa na waandamanaji bandia. Biashara zilisimama na kuharibiwa.

Nyumba za ibada zilichomwa moto, kuna watu waliteka gari la polisi na kutokomea nalo Oyugis, Homa Bay. Watu zaidi ya 400, waliripotiwa kujeruhiwa, wengine majeraha yakiwa mabaya mno. Tamko lilikuwa maandamano ya amani, ila vitendo havikuakisi amani. Polisi walipotaka kutumia nguvu kudhibiti, machafuko yakawa makubwa. Polisi walikufa na kujeruhiwa.

Ombi la Ruto kwa Raila lilikuwa, maandamano yasitishwe ili kuruhusu mazungumzo ya vyama bungeni katika madai ambayo aliyatoa na kuyatumia kushawishi maandamano nchi nzima, vilevile na yeye (Ruto), milango yake ipo wazi kukutana na kiongozi huyo wa upinzani.
Saa moja baadaye, Raila alijibu hotuba ya Ruto kwa kutoa tamko la kusitisha maandamano ili kuruhusu mazungumzo ya vyama kuchukua nafasi. Vilevile kuheshimu mfungo wa mwezi wa Ramadhan, Kwaresma na ujio wa Pasaka.

Raila alisema, kama mazungumzo hayataleta matunda, watarudi tena kwenye maandamano baada ya wiki moja. Hivyo, aliomba wananchi wasiendelee na maandamano kupisha nafasi ya mazungumzo.
Kiini cha maandamano; Raila alikuwa na hoja mbili. Mosi, ikiwa ni manung’uniko ya kutotendewa haki kwenye Uchaguzi Mkuu Kenya uliofanyika Agosti 9, 2022 na mazingira yake. Pili, ni kupaa kwa gharama za maisha.

Awali, Raila alitoa muda wa siku 14, Ruto kushughulikia malalamiko hayo. Kipindi hicho alichokitoa kilipopita pasipo maombi aliyoyatoa kushughulikiwa, ndipo aliitisha maandamano na yakaitikiwa.

Nyakati za mwanzo za maandamano, ungemwona Ruto akihutubia makundi ya watu, akicheka na kufanya mzaha kuwa Raila amwache arekebishe nchi kwa sababu mapatano yake na Rais mstaafu, Uhuru Kenyatta, ndiyo yaliyoharibu nchi.

Naibu Rais, Rigathi Kachagua, alikuwa mkali. Alisema, Raila aliitisha maandamano kumtisha Ruto ili waketi na kugawana mamlaka ya kuongoza, kama ilivyokuwa wakati wa Rais wa pili, Daniel Moi, Rais wa tatu, Mwai Kibaki na Uhuru.

Rigathi alisema, Ruto na yeye sio watu wa kutishwa. Aliongeza kuwa Uhuru, mtoto wa Rais wa Kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta, amekuzwa kwa virutubisho vya kiwandani (cerelac), ndio maana alipotishwa na Raila, aliketi wakazungumza.

Si hivyo tu, Rigathi aliahidi kuwa hata siku ambayo Ruto angekubali kukutana na Raila, yeye (Rigathi), angekwenda Ikulu ya Kenya na kuzuia mageti yote, kuhakikisha kiongozi huyo wa upinzani, hapati nafasi ya kupeana mkono na bosi wake.

Kinachotokea sasa, ni tofauti mno na mtazamo wa Ruto na tambo za Rigathi. Dirisha la mazungumzo limefunguliwa. Muhimu zaidi, aliyeomba ni Ruto. Kisha Raila akapokea. Rigathi akampongeza bosi wake kwa uamuzi wake wa busara.

Source: Mwananchi

"Ruto anapojifunza maridhiano kwa maandamano"
Raisi wa Venezuela.
 
Tafauti ya Kenya na Tanzania si jinsi ya wananchi wanavyogughulika na "watawala", tofauti yetu kubwa ni Ukabila.

Kenya wana serkali ya Majimbo, essentially ya makabila. Raila Odinga ni Mjaluo, kwao ni njimbo la Nyanza, makao yake makuu Kisumu. Gavana (Rais) wa Nyanza ni Okot Nyongo, Mjaluo. Mbunge wa Kikabila (Senator) ni James Orengo, Mjaluo. Kila mtu ni O, O, O, wote wajaluo. Idadi yao si wengi sana, ni kama 19% ya Kenya. Kabila zingine hivo hivo:Waluhya 23%, Wakikuyu 20% Kalenjin 21%. Unahitaji kabila 3 walau ili utawale kikabila kama hii Orange au Azimio in Wajaluo na wengine kwa majina (Kalonzo Mkamba; Martha Karua Kikuyu, na Oparanya mluhya lakini O na mabaki ya Waarabu wachache Mombasa).

Siasa za Kenya pia ni za kimila, kuchanjiana damu, liwalo na liwe, hatutaki hatutaki, wako tayari kufa. Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa Jomo Kenyatta, Mkikuyu, baba yake Uhuru aliongoza mapambano dhidi ya wakoloni kwa kundi la MAUMAU, kwa kuchanjiana. Makamu wake alikuwa Jaramogi Oginga Odinga, Baba yake Raila, walikuwa hivi hivi. Wajaluo wako hata Tanzania, wachache zaidi ni wagomvi wagomvi, kila mji mkubwa mkubwa utawakuta na kota zao, Nairobi wako Kibera na Mathare. Kwa vile amri ni ya kikabila na amri imeshatolewa tangu zamani za Oginga mkubwa, Kenya hakuna amani hadi leo. Nia yao ni kuungana na makabila jirani makubwa kama Waluhya au madogo kama Wadigo wa Pwani.

Ndiyo maana Raila si msumbufy tu bali kweli anaweza kuleta vurugu asipothibitiwa, nadhani ndiko kunakoenda, itabidi nguvuvza kijeshi zitumike na Jeshi la Marekani liko Pwani likisubiri.

Sisi hatuna ukabila kama huo. Hiyo ndiyo tafauti yetu. Hatuna kitu kinachoitwa "wananchu" wala kinachoitwa "watawala" kwa misingi ya kikabila kama hizo O O O O za Raila. Watawala wao ni mwendelezo huo O O O katika serkali za kikabila wakiita majimbo.

Sisi ni Watanzania, Taifa kubwa lililoungana tangu Bukoba hadi Mikindani, tangu Pemba hadi Rukwa, Tangu Arusha hadi Meya, Kigoma hadi Bagamoyo. Watawala wetu ni Wazanzibari na Wahehe na Wahaya na Wachagga. Hatubaguani.

Sisi tuna Wakristu rasmi, Waislamu na Wapagani lakini tunapendana, Mufti wanafunga na Kardinali kuombea gonjwa la Covid Kenya wana makanisa ya mfukoni, kila mtu ana Askofu wake au Nabii wake, Raila ana ya kwake na Kenyatta ana yake kila mtaa na kila mkutano kuna Askofu mwanamke au mwanaume.

Cha kuogopa sisi ni hawa CHADEMA na siasa zao za Kenyakenya. Ukabila wao utaukuta diaspora kila mji wafanya biashara wa hardware na bar lakini ni wachache - kwao wachache na miji mikubwa ni wachache.

CHADEMA wangependa kabisa wawe kama Raila kwa vikundi vikundi vya kikabila wanataka kila kitu lakini idadi haitoshi.

Hata kwao nyumbani wameshajulikana nia, wamekataliwa hawana Mbunge hata mmoja, hadaa hadaa za mwanzo walikuwa 100% ndipo wakajiuliza kulikoni.

Kwa hiyo usitulinganishe na Kenya, ni sawa na mchana kutwa kweupe ni usiku wa kiza kweusi.
Hakuna lolote, nchi hii ni ya majoga baada ya kulishwa ushirikina wa mwenge wa uhuru. Athari za siasa za ujamaa ziko hadi leo, na ndio zilizotumika kusimika ujinga na uoga. Hali hii imepelekea kupatiwa viongozi wasio na uhalali wa umma kupitia chaguzi za kishenzi, na fedha za umma zinaweza kuporwa na wananchi wasifanye lolote, ukiuliza huu ukondoo ni Wanini, utasikia sisi hatuna ukabila kama Kenya.
 
Tafauti ya Kenya na Tanzania si jinsi ya wananchi wanavyogughulika na "watawala", tofauti yetu kubwa ni Ukabila.

Kenya wana serkali ya Majimbo, essentially ya makabila. Raila Odinga ni Mjaluo, kwao ni njimbo la Nyanza, makao yake makuu Kisumu. Gavana (Rais) wa Nyanza ni Okot Nyongo, Mjaluo. Mbunge wa Kikabila (Senator) ni James Orengo, Mjaluo. Kila mtu ni O, O, O, wote wajaluo. Idadi yao si wengi sana, ni kama 19% ya Kenya. Kabila zingine hivo hivo:Waluhya 23%, Wakikuyu 20% Kalenjin 21%. Unahitaji kabila 3 walau ili utawale kikabila kama hii Orange au Azimio in Wajaluo na wengine kwa majina (Kalonzo Mkamba; Martha Karua Kikuyu, na Oparanya mluhya lakini O na mabaki ya Waarabu wachache Mombasa).

Siasa za Kenya pia ni za kimila, kuchanjiana damu, liwalo na liwe, hatutaki hatutaki, wako tayari kufa. Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa Jomo Kenyatta, Mkikuyu, baba yake Uhuru aliongoza mapambano dhidi ya wakoloni kwa kundi la MAUMAU, kwa kuchanjiana. Makamu wake alikuwa Jaramogi Oginga Odinga, Baba yake Raila, walikuwa hivi hivi. Wajaluo wako hata Tanzania, wachache zaidi ni wagomvi wagomvi, kila mji mkubwa mkubwa utawakuta na kota zao, Nairobi wako Kibera na Mathare. Kwa vile amri ni ya kikabila na amri imeshatolewa tangu zamani za Oginga mkubwa, Kenya hakuna amani hadi leo. Nia yao ni kuungana na makabila jirani makubwa kama Waluhya au madogo kama Wadigo wa Pwani.

Ndiyo maana Raila si msumbufy tu bali kweli anaweza kuleta vurugu asipothibitiwa, nadhani ndiko kunakoenda, itabidi nguvuvza kijeshi zitumike na Jeshi la Marekani liko Pwani likisubiri.

Sisi hatuna ukabila kama huo. Hiyo ndiyo tafauti yetu. Hatuna kitu kinachoitwa "wananchu" wala kinachoitwa "watawala" kwa misingi ya kikabila kama hizo O O O O za Raila. Watawala wao ni mwendelezo huo O O O katika serkali za kikabila wakiita majimbo.

Sisi ni Watanzania, Taifa kubwa lililoungana tangu Bukoba hadi Mikindani, tangu Pemba hadi Rukwa, Tangu Arusha hadi Meya, Kigoma hadi Bagamoyo. Watawala wetu ni Wazanzibari na Wahehe na Wahaya na Wachagga. Hatubaguani.

Sisi tuna Wakristu rasmi, Waislamu na Wapagani lakini tunapendana, Mufti wanafunga na Kardinali kuombea gonjwa la Covid Kenya wana makanisa ya mfukoni, kila mtu ana Askofu wake au Nabii wake, Raila ana ya kwake na Kenyatta ana yake kila mtaa na kila mkutano kuna Askofu mwanamke au mwanaume.

Cha kuogopa sisi ni hawa CHADEMA na siasa zao za Kenyakenya. Ukabila wao utaukuta diaspora kila mji wafanya biashara wa hardware na bar lakini ni wachache - kwao wachache na miji mikubwa ni wachache.

CHADEMA wangependa kabisa wawe kama Raila kwa vikundi vikundi vya kikabila wanataka kila kitu lakini idadi haitoshi.

Hata kwao nyumbani wameshajulikana nia, wamekataliwa hawana Mbunge hata mmoja, hadaa hadaa za mwanzo walikuwa 100% ndipo wakajiuliza kulikoni.

Kwa hiyo usitulinganishe na Kenya, ni sawa na mchana kutwa kweupe ni usiku wa kiza kweusi.
Crap from a hypocrite.
 
Eeh kwa akili hizi na uoga sijui tunatengeneza kizazi gani huko mbeleni. Watu hawataki kusimamia haki zao na kupambana kuzipata wanataka wapambaniwe.

Watu wa aina hio wana tofauti gani sasa na wanawake wanaotegemea kuolewa ili walishwe? [emoji1787]
Unajua wazungu mara nyingi hufikiria na kuona mbali na kuja na plan or call it vision itakayofanya kazi, nafikiria wamejaribu kutuelimisha ili tuchague serikali makini lakini imeshindikana sasa ndipo wakaja na plan B ya kutujengea kwanza ujasiri wa kiakili na kimoyo wa kumwinamisha ngosha mwenzio bila kujali misuli yake na hapa wameingiza mipesa mingi tu ili tuweze kuwa na uthubutu wa kufanya lolote , hebu fikiria hiyo theory kama sio kweli basi jiulize kwanini wanagharamia kwa nguvu zote huu ushoga na mwisho patakuwa na kitu gani?
 
Sidhani kama linapokuja suala la kudai haki yako kuna nafasi ya ukabila, wakenya wanaandamana kwa sababu ya ukali wa gharama za maisha, hili linawaumiza wote bila kujali makabila yao, sisi tumezubaa tusidanganyane na upole wetu au mchanganyiko wetu wa makabila, tunaumia lakini tumelala tu, siku zote tunaendeshwa na mtawala.

Ukweli wakenya wamechangamka, na kigezo cha ukabila kisitumiwe kwenye kila jambo, ndio maana wakaipata Katiba waliyonayo sasa kwa mtindo huo.

Nimekusoma nimeona ulichokiandika hapo juu ni muendelezo wa fikra mgando zilizotufikisha hapa tulipo, unataka tuendelee kuzubaa tu kwa kisingizio kwamba kudai haki zetu ni kufanya vurugu kunakosababishwa na ukabila, this is not right!.

Atakuwa nduguye na kina joni huyo. Yaani Lumumba style. Kwamba ni mlamba asali, mhuni au kijana wa hovyo.
 
Unajua wazungu mara nyingi hufikiria na kuona mbali na kuja na plan or call it vision itakayofanya kazi, nafikiria wamejaribu kutuelimisha ili tuchague serikali makini lakini imeshindikana sasa ndipo wakaja na plan B ya kutujengea kwanza ujasiri wa kiakili na kimoyo wa kumwinamisha ngosha mwenzio bila kujali misuli yake na hapa wameingiza mipesa mingi tu ili tuweze kuwa na uthubutu wa kufanya lolote , hebu fikiria hiyo theory kama sio kweli basi jiulize kwanini wanagharamia kwa nguvu zote huu ushoga na mwisho patakuwa na kitu gani?

Mzungu anatoa pesa kufanikisha uwepo wa demokrasia na haki za binadamu.

Ushoga ni kipengele kimoja tu kwenye haki za binadamu.

Hivi watu na yao miili yao au yoyote faraghani inatuhusu vipi wengine tusiohusika?

Kwamba mtu anaongelea demokrasia na haki za binadamu aache vipi kutambua uwepo watu wa mapenzi ya jinsia moja kama wao wanadai kuwa wapo?

Suala la mapenzi ya jinsia moja linakuzwa na madikteta wenye malengo ya kuzima harakati zote za kudai demokrasia na haki za binadamu. Hawa wakiwatumia mashoga kama kisingizio tu kwenye juhudi zao hizo uchwara.
 
La Sabaya ni sawa na la Mbowe, zote chanzo chake ni tofauti kuwa Sabaya kashinda kesi yake, imesikilizwa mwanzo hadi mwisho.

Mbowe bahati yake ni Rais kaamua amsamehe kwa huruma yake tu.

Ila zote mbili zinamhusu ole Sabaya, ngoja nikupe.

Utakumbuka ushahidi wa tigopesa ulikuta Mbowe karushia makamandoo watatu hela za nauli na posho waende Moshi kumuua Mkuu wa,Wilaya ole Sabaya?

Ukaja ushahidi Afande "Homeboy" Urio aombwe na Mbowe amtafutite kwa siri makomandoo wamuue ole Sabaya?

Ukaja ushahidi wa Afande Jumanne na Kamanda Kingai kuwakamata wauaji wakiwa safarini kwenda kutekeleza misheni yao, wakapita kunywa mbege Rau Madukani ndipo wakakamatwa?

Kwa vile misheni yao haikufanikiwa, ole Sabaya aliponea chupuchupu kuuliwa lakini bado yuko hai. Si ndipo Mama kwa huruma yake kama Mama kuona bora amsaheme Mbowe yaishe ila asirudie tena?

Hii haiongelewi sana lakini ukweli ndiyo huu.

Tuko wote duniani hapa ndugu?

1. Kwamba Mbowe alisamehewa na Rais Kwa huruma yake? Unayapata wapi haya?

2. Kwamba Sabaya kesi zake zote zimesikilizwa Hadi mwisho akashinda? Uliyasikia au hata kuuyaelewa ya plea bargaining? Au upo kujifurahisha kutype type tu ndugu?

3. Kila unaoitwa ushahidi kwako humtia mtu hatiani? Kwani mashahidi hawa ni miungu?

Kwa bandiko lako hili unayo nafasi ya mbele kabisa katika orodha iliyotambuliwa na Dkt. Mollel:

FpojyuNWIAAJNp3.jpeg
 
Tatizo letu tunaendeshwa kwa matakwa ya mtawala, anaanza kuharibu yeye, halafu badala sisi tumjibu kwa kuchukua hatua, tunamsubiri yule aliyeharibu aje kusawazisha kwa kutaka mazungumzo nae.

Hii tabia yetu imesababisha tumekuwa watu wa kuchezewa sana na watawala, ndio maana anaweza kuja yule asiyetaka mazungumzo, kwa sababu anajua hatuwezi kufanya chochote, au akaja wa mazungumzo lakini mwisho wa siku nae akaenda kinyume na yale waliyokubaliana, sababu nae anatujua tulivyo kondoo.

Hali ni tofauti na huko Kenya, wakenya wanajua kumshughulikia mtawala asiyesikia, mpaka mtawala mwenyewe anaamua kukaa chini na kuongea nao. Hapa pana uwezekano mkubwa kile kinachozungumzwa kikafanyiwa kazi 100% na mtawala ili alinde nafasi yake.
Hatuna wapinzani imara, tunhepata Lisu 5, Lema 5, Heche 5 mbona nchi ingenyooka?
 
LIssu 1 tu tunatosha sana mkuu. Kumbuka ilivyo LIssu anapotimba nyumbani:

Ed7tAaTXYAAKmfy.jpeg

Mbona Maalim Seif 1 tu alikuwa anatosha?

Hata Kenya wana Raila 1 tu.

Tunakosa mtu aliyedhamiria 100% kama kiongozi. Tunahitaji wenye hofu mbele watupishe.

Watu waliodhamiria 100% wapo ila wafanye nini kutokea wapi?

Cc: Zawadini
 
Back
Top Bottom