- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama tungekuwa nao Lissu 10, Heche 10...Hatuna wapinzani imara, tunhepata Lisu 5, Lema 5, Heche 5 mbona nchi ingenyooka?
Hata kama tungekuwa nao Lissu 10, Heche 10...
Lakini kama sisi wengine tutaendelea kujifungia ndani, hakuna lolote la maana litakalobadilika..
Wale wanaoandamana kule Kenya hawahitaji Raila 3, wala mwingine yeyote, all they need ni kauli toka kwa Raila mmoja pekee, kisha wanaingia barabarani.
Mkuu jambo muhimu ni hamasa tu.Hata kama tungekuwa nao Lissu 10, Heche 10...
Lakini kama sisi wengine tutaendelea kujifungia ndani, hakuna lolote la maana litakalobadilika..
Wale wanaoandamana kule Kenya hawahitaji Raila 3, wala Martha Karua 2, all they need ni kauli toka kwa Raila mmoja pekee, kisha wanaingia barabarani.
Whitewash nchi haiwezi kuendelee kwa kuendekeza wapinzani njaa kama Odinga. Ruto anammaliza Odinga kisiasa once & for all. Demokrasia Afrika ni biashara.
Ruto anaendelea kusisitiza upinzani ufanye kazi yake na serikali ifanye kazi yake, hakuna suala la kukaa pamoja mezani kati ya serikali na upinzani ili kuletea wananchi maendelea. Leo hii mbowe yuko ndani ya Serikali kuna lolote la maana lililotokea??
Na hamasa haihitaji watu wengi.Mkuu jambo muhimu ni hamasa tu.
Raila anatesa Nairobi na watu wasiofika 2,000Na hamasa haihitaji watu wengi.
Ruto hata kabla ya kushinda u Rais msimamo wake ulikua ni No hand Shake, huyu mtu yuko very smart kisiasa na utendaji kazi.Ruto katoka Kigali na ushauri mpya toka kwa tolu.
View attachment 2579816
Mwone alivyopauka hapo. Hizo kauli ngumu ngumu ni for PR use only.
View attachment 2579818
Ngoja apewe mrejesho.
View attachment 2579817
Watu wanataka tear gas!
Unaenda kuandamana na mtu ana VIP health Insurance akiwa ndani ya V8 yake anakula kiyoyozi. Huko sio kuandamana ni utumwa na kutumika vibaya kutimiza malengo ya watu binafsi.Hata kama tungekuwa nao Lissu 10, Heche 10...
Lakini kama sisi wengine tutaendelea kujifungia ndani, hakuna lolote la maana litakalobadilika..
Wale wanaoandamana kule Kenya hawahitaji Raila 3, wala Martha Karua 2, all they need ni kauli toka kwa Raila mmoja pekee, kisha wanaingia barabarani.
Ruto hata kabla ya kushinda u Rais msimamo wake ulikua ni No hand Shake, huyu mtu yuko very smart kisiasa na utendaji kazi.
Ndio maana nikasema tungepata watu imara 15 tu wenye spirit ya mabadiliko ya kweli, wenye ushawishi...moto ungewakaNa hamasa haihitaji watu wengi.
PR kabla na baada ya uchaguzi.?? Hakuna handshake, ujumbe ni mmoja tu majadiliano yote yanafanyika kupitia Bunge hutaki rudi mtaani uendelee kula teargas.Hizo ni PR miscellenities mjomba. Hata Odinga ana ujumbe mkali kuliko huo:
Take it to Gachagua, I don't want to shake his hands - Raila
Unaenda kuandamana na mtu ana VIP health Insurance akiwa ndani ya V8 yake anakula kiyoyozi. Huko sio kuandamana ni utumwa na kutumika vibaya kutimiza malengo ya watu binafsi.
Walikua wanaongoza mapambano wakiwa kwenye V8s zenye full A/C?Insurance tena? Watalebani wakipigania ukombozi kauli mbiu ilikuwa "kuwa tayari kufa kuliko adui anavyotaka kuishi."
Naona kama post # 18 inakuhusu.Unaenda kuandamana na mtu ana VIP health Insurance akiwa ndani ya V8 yake anakula kiyoyozi. Huko sio kuandamana ni utumwa na kutumika vibaya kutimiza malengo ya watu binafsi.
Raila hataki handshake kabla na hata baada ya uchaguzi.PR kabla na baada ya uchaguzi.?? Hakuna handshake, ujumbe ni mmoja tu majadiliano yote yanafanyika kupitia Bunge hutaki rudi mtaani uendelee kula teargas.
Raila ameonywa kuwa 2027 anaweza akakosa hata agents sio kura tu
Hahahahah wahuni tu hao jamaa 😀😀😀 huo ujasiri au upumbavu? A human mind is a powerful thing ukiweza kuitwist tu basi umefanikiwa kuharibu future ya mtu.Unajua wazungu mara nyingi hufikiria na kuona mbali na kuja na plan or call it vision itakayofanya kazi, nafikiria wamejaribu kutuelimisha ili tuchague serikali makini lakini imeshindikana sasa ndipo wakaja na plan B ya kutujengea kwanza ujasiri wa kiakili na kimoyo wa kumwinamisha ngosha mwenzio bila kujali misuli yake na hapa wameingiza mipesa mingi tu ili tuweze kuwa na uthubutu wa kufanya lolote , hebu fikiria hiyo theory kama sio kweli basi jiulize kwanini wanagharamia kwa nguvu zote huu ushoga na mwisho patakuwa na kitu gani?
Walikua wanaongoza mapambano wakiwa kwenye V8s zenye full A/C?
Mapambano ni jukumu la vijana wa maana, siyo wazee wala wale vijana wa hovyo:
Hao ndiyo wenye jukumu la kuwafurusha polisi na kuzuia viongozi kukamatwa.
View attachment 2579977
Raila hata asingekuja kabisa kwenye maandamano ilikuwa sawa kabisa. Kwa vile kaja, jukumu namba 1 la wapambanaji ni usalama na comfort yake.
"Haya hayawezi kuwahusu walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo."
Hayo ndiyo marupurupu ya wazee wote watakaokuja kwenye harakati za mapambano yote kama haya.
Wazee tutawalinda Kwa gharama ya damu zetu. Hakuna jipya hapo.
Habari ndiyo hiyo.