Ruto kamjibu Samia kwa akili kubwa sana kuhusu maadui wa Afrika Mashariki

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Guys guys

Wakati samia aliongea kwa jaziba, Muhemko na chuki huku akihamasisha uonevu juu ya raia.

Ruto kajibu kwa akili kubwa kwamba hao GenZ wala siyo tatizo. The big challenge ni "umaskini na ajira".

Ni dhahiri kabisa kizimkazi hamna kitu kwa kweli
 
GenZ wala siyo tatizo. The big challenge ni "umaskini na ajira".
*
 
Suluhu ya Samia ni kutwaa,kuficha,kupiga,kutesa,kufunga jela na ikibidi kuua.Kwamba ..."total destruction is the only solution"...!Nchi imempata "a beautiful Dracula"!
 
Alaaniwe Jakaya Mrisho Kikwete na CCM kutuwekea huyu kilaza.
 
Kasongo Hana unafiki kanyooka
Lkn hebu ifike wkt tumuheshimu rais Samia Kwann twamkosea adabu hivyo
 
Rutto akili kubwa ....

Mambo aliyotaja ndio changamoto iliyopo....



Hivi watu wakipata mazingira mazuri ya ajira, kujiajiri na unafuu wa kodi ... pia kuwe na utawala bora plus uwajibikaji serikalini kama vile ubadhirifu n.k utadhani kuna watu watasumbua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…