granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
dakitar mbobezi kutoka muhmblRuto anasoma PHd Kwa sasa
Samia tayari anayo PHd
Anayo mpaka Udakrari wa ubingwa
dakitar mbobezi kutoka muhmblRuto anasoma PHd Kwa sasa
Samia tayari anayo PHd
Anayo mpaka Udakrari wa ubingwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Pale hamna kitu kabisa.
Huku kwetu kijana akiolewa na Lishangazi huwa tunasema ameokota nyumba.
Sasa hata Bibi nae aliokota tuu huo utumishi wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniii, [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio uhalisia wenyewe.
Wakenya hawamtaki kwa sababu na yeye ameshaua watu (Gen Z's) kwenye maandamano ya kupinga Finance bill 2023. Pia ni fisadi anajilimbikizia mali kwa kuTax almost everything.Ruto anajielewa, kwanini wakenya hawamtaki? He will likely serve only one term.
Wakenya hawamtaki kwa sababu na yeye ameshaua watu (Gen Z's) kwenye maandamano ya kupinga Finance bill 2023. Pia ni fisadi anajilimbikizia mali kwa kuTax almost everything.
Ila pamoja na mapungufu hayo yote, ameona siyo sahihi kuwadhibiti vijana kwa "kupiga bakora" (kuteka, kutesa na kuua) kama huyu kilaza wetu alivyotoa boko.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na ubinadamu huwezi kushabikia kuumiza watu kama njia ya kudhibiti watu wasidai mambo yao tena ya msingi kabisa.
Huyu "the butcher" she is been haunted by blood of innocent civilians (gen z's) she shed on 29th-30th Oct 25. Ndiyo maana kila akifungua mdomo kuongea lazima atoe boko.
Salama yake ajiuzulu au alazimishwe kujiuzulu, akiri maovu yake na lazima ashitakiwe kwa ukatili aliotenda au kutoa amri utendeke, yeye pamoja na kundi lake lote (uzuri wote wanafahamika)
We naye umetoka wapi umevamia uzi hata kuandika hujui. MA*KO.YAKOwhy mnakosoa sana watu kama nyie mpo sawa .
Nahuku hao hao wanaume wanakushauri wanakuwa nawewe unafanya maajabu unaishia kulaumiwa wewe tena.
Kisa Ruto ni baba mnasifia mara ngapi anawatch watu wakiuwawa kudhihakiwa and mumekaa mnamsifia kawapa lini kazi na hicho chakulA.??
LIni. Wote wapo sawa tu enemies of Africa. Stop saying nonsense.
Haters kivipi? Kwani kila mmoja hakuongea hayo? Samiq aliongea ya chuki na visasi Ruto aliongea ya ajira na umaskiniIla mihaters ya Samia bwana 🤣🤣🤣
Sorry, hivi Kuna watu duniani kwa Sasa wanapata tabu kama hawa haters wa Samia?!!!!! Maana kiukweli wamekwamaaaa😀😀😀
Yako pia halafu unamakavu mabaya hata hayawezi kuchambika ma""vi yanashindwa kutoka yamekakamaa kwenye mkxxxxndu.We naye umetoka wapi umevamia uzi hata kuandika hujui. MA*KO.YAKO
Nampa pole aliyekuzaaYako pia halafu unamakavu mabaya hata hayawezi kuchambika ma""vi yanashindwa kutoka yamekakamaa kwenye mkxxxxndu.
Mxiuu kwa akili yako unajua kuandika sasa shenzi nuksi wewe blad full mxiuu
1. Na ndiyo ubinadamu unataka hivyo, ukifanya kosa onyesha kujutia. Ila hiyo haitoshi ni lazima kukiri kosa na kinachofuata hukumu.Kwahiyo ameshaua sasa anaona sio sahihi?
Naona anasafiwa sana bongo ila kwao hawataki hata kumsikia au ndo nabii haku bariki kwao?