Ruto kamjibu Samia kwa akili kubwa sana kuhusu maadui wa Afrika Mashariki

Samia ni muislamu na niliwaambia watu hapa jf ni ngumu muislamu kuwa na akili na uzalendo
 
Na aliyaongea kwa msisitizo sana hayo maneno ili ujumbe umfikie mhusika.

Vijana wangekuwa na ajira, maisha yangekuwa na unafuu, ufisadi na rushwa visingetamalaki, utekaji na mauaji ya wakosoaji yasingetamalaki, dhuluma na uonevu visingetamalaki kwenye uchaguzi, nk. ni kijana gani angeandamana?

Muda wa watawala kuwaua wananchi wangeutoa wapi? Kwenye hili nampongeza sana Mh. Ruto kwa kuongelea kiini cha tatizo. Na siku zote viongozi wanatakiwa wawe na akili kubwa kama hii aliyo ionesha Ruto.
 
SI jui shida ni nini? Au watu wanaomzunguka, yaani wasaidizi wake wanamtumia TU wafaidike basi , hawamshauri vizuri, wanaomwandikia hotuba mbaya du ni hatari.
 
Yes very true πŸ‘
 
Ruto anasoma PHd Kwa sasa

Samia tayari anayo PHd
Anayo mpaka Udakrari wa ubingwa
πŸ˜‚πŸ€£πŸƒπŸΏ
 
Mtu ni kiongozi mkuu wa nchi ila family circle karibu watano wapo kwenye nyadhifa za kitaifa wala haoni ajabu .
Vijana wakiamkua na kuuliza kwanini hivi yeye ana chapa bakora!
Mambo ya hovyo sana
 
SI jui shida ni nini? Au watu wanaomzunguka, yaani wasaidizi wake wanamtumia TU wafaidike basi , hawamshauri vizuri, wanaomwandikia hotuba mbaya du ni hatari.
Hivi ni hatuba anaandikiwa mbovu au huwa anatoa tu boko kwasababu ya uwezoπŸ€”πŸ€”
Maana boko analitoaga akiwa hasomiπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Pale hamna kitu kabisa.
Huku kwetu kijana akiolewa na Lishangazi huwa tunasema ameokota nyumba.

Sasa hata Bibi nae aliokota tuu huo utumishi wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Atasikia basi na hata kama akisikia hataelewa
 
why mnakosoa sana watu kama nyie mpo sawa .
Nahuku hao hao wanaume wanakushauri wanakuwa nawewe unafanya maajabu unaishia kulaumiwa wewe tena.

Kisa Ruto ni baba mnasifia mara ngapi anawatch watu wakiuwawa kudhihakiwa and mumekaa mnamsifia kawapa lini kazi na hicho chakulA.??
LIni. Wote wapo sawa tu enemies of Africa. Stop saying nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…