Ruto kampa live Raisi Samia na demokrasia fake

Mwanzo 9:6 BHND​

Share
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
Rais wetu ile juzi alijinasibi kwamba uwa anaongea na marais wenzake.

Alishindwa kuongea na Rais Ruto wa nchi ya jirani yake kupata ushauri wa jinsi ya kuongoza nchi!

View attachment 3102621
Actually ruto needs to learn from TZ…. Mliandamana last time mkalindwa na kupewa hadi maji ya kunywa

Maandamano yakaisha kwa aiiibuuuuu kama mlikua kwenye walkathon ya mtu na mgoni wake
 
Ruto kampa live Samia kuhusu maandamano

Niongezee hili la imani

Mwanzo 9:6 BHND​

Share
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Na imagine kile kilichotokea Kenya hapa Tz nani angeweza kukicontrol? Kenya imefika level za Mbali sana ktk nchi za afrika. Baada ya South Afrika inafata Kenya.
 
Na imagine kile kilichotokea Kenya hapa Tz nani angeweza kukicontrol? Kenya imefika level za Mbali sana ktk nchi za afrika. Baada ya South Afrika inafata Kenya.
Crap

Unasahau hadi yake makaburi ya makundi ya watu?
 
Mwanzo 9:6 BHND​

Share
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Alieuliwa anaitwa nani vile? Yule mwanajeshi, Mwarabu wa Tanga?
 
Ruto kampa live Samia kuhusu maandamano

Niongezee hili la imani

Mwanzo 9:6 BHND​

Share
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.

Yaani Ruto kamfunika Mama mpaka tunaona aibu kusema sisi eti tuna demokrasia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…