Mungu haibi kuraNaibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni
Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani
Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33
Source Citizen tv
Mithali 16 33Mungu haibi kura
Kenya wapo sayari moja na Marekani kwa sasaNaibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni
Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani
Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33
Source Citizen tv
Hata shetani alitumia Bible referrence wakati anamjaribu Yesu nyikaniMithali 16 33
Kama kura zimepigwa toka enzi za Biblia ..... hivi hawa akina Mahera wanashindwaje kuziheshimu kura za Watanzania.Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni
Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani
Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33
Source Citizen tv
Maamuzi ni ya Mungu wa mbinguni Siyo MaheraKama kura zimepigwa toka enzi za Biblia ..... hivi hawa akina Mahera wanashindwaje kuziheshimu kura za Watanzania.
Wanamuonea bure Iblis binadamu ndio Shetan mwenyewe wanafanya mambo hata shetani hawezi fanya halafu wanamsingizia shetanIt means watu wanafanya matendo yao kwa siri, ila Mola ndiye mwamuzi atakayewahukumu siku ya mwisho. Umeelewa sasa wewe mtoto wa Iblis Bin Shetan ?
Jina la sayari, tafadhali. Au Pluto?Kenya wapo sayari moja na Marekani kwa sasa
Naona unamtetea Iblis Bin Shetan hadi jina umemnyang'anyaWanamuonea bure Iblis binadamu ndio Shetan mwenyewe wanafanya mambo hata shetani hawezi fanya halafu wanamsingizia shetan
Iblis hana ubaya alikuwa anaitwa baba wa kusujudu ila mungu alitaka kumdhihaki na kumdhalilisha mbele ya Adam kumwambia amsujudie wakati iblis ni mwema vitabu vitakatifu vinaonyesha iblis hajawahi kuuwa iblis hajawahi kudhulumu mtu wala hana ushirika wowote zaidi ya kukataaa kumsujudia binadam ambae anamadhambi kIbao kama kuua kudhulumu kusema uongo hata ungekuwa ww utakubali kumsujudia mtu muovu?Naona unamtetea Iblis Bin Shetan hadi jina umemnyang'anya
JupiterJina la sayari, tafadhali. Au Pluto?
Wahuni tu ndiyo wanataka kuwatia ujinga Wadanganyika ..... Ilianza kidogo kidogo wakati wa JK kwamba ni chaguo la Mungu, wakati wa JPM ikapamba moto mpaka ikafikia akaitwa Mungu .... naona sasa imekuwa ni sehemu ya kuwabrain wash wapiga kura. Kama ni kweli kwa nini huwa wanahangaika na kampeni na kununua kura!!?Maamuzi ni ya Mungu wa mbinguni Siyo Mahera
Mithali 16 33
Naomba unijibu hapa kidogo, mkuu:Iblis hana ubaya alikuwa anaitwa baba wa kusujudu ila mungu alitaka kumdhihaki na kumdhalilisha mbele ya Adam kumwambia amsujudie wakati iblis ni mwema vitabu vitakatifu vinaonyesha iblis hajawahi kuuwa iblis hajawahi kudhulumu mtu wala hana ushirika wowote zaidi ya kukataaa kumsujudia binadam ambae anamadhambi kIbao kama kuua kudhulumu kusema uongo hata ungekuwa ww utakubali kumsujudia mtu muovu?
Sikushangai sana Bejamini Netanyahu because hata jina lako hujui kuliandika.Jupiter
Ni mwizi mkuu huyu! Kumchagua Ruto itathibitisha kuwa Kenya limekuwa taifa la wezi. Huyu ni land grabber na muuaji. Kikuyu mafias wajiandae au wakimbie nchi. Huyu atataka kuweka tabaka la Wakalenjin kwenye tabaka la wezi wenzie.Anakumbuka blanket wakati kumeshakucha tayari? Wakati anapora aridhi za wanyonge wasio na hatia hakujua kuwa kuna Mungu ambaye ndiye mtetezi wa wanyonge?
Acha kukariri wewe, jina nani alikwambia kila mtu lazima aitwe Benjamini badala ya Bejamini?Sikushangai sana Bejamini Netanyahu because hata jina lako hujui kuliandika.
Wapi mm nimesema hivyo? Umejishtukia, siyo?Acha kukariri wewe, jina nani alikwambia kila mtu lazima aitwe Benjamini badala ya Bejamini?