Kenya 2022 Ruto: Kura zinapigwa ili kujua matakwa ya watu lakini uamuzi wa mshindi hufanywa na Mungu(Mithali 16:33)

Kenya 2022 Ruto: Kura zinapigwa ili kujua matakwa ya watu lakini uamuzi wa mshindi hufanywa na Mungu(Mithali 16:33)

Kenya 2022 General Election
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni

Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani

Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33

Source Citizen tv
Mungu haibi kura
 
Kenya wapo sayari moja na Marekani kwa sasa
 
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni

Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani

Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33

Source Citizen tv
Kama kura zimepigwa toka enzi za Biblia ..... hivi hawa akina Mahera wanashindwaje kuziheshimu kura za Watanzania.
 
Kwa hio na ile nchi moja hivi ..chama chake tawala cha miaka mingi namna walivodhulumu uhai wa watu kwa huchu ya kuendelea ongoza ile nchi kubinya uhuru wa kutoa maoni,siku ya kura internet hakuna baadhi ya watu walipita bila kupingwa ilihali kulikuwa na opponents wenye sifa, kabla ya hapo pia watu walioikosea serikali walipotelea mbali nayo ni mipango ya Mungu ? Watu wanatumia silaha za moto dhidi ya wananchi ambao wana viswaswadu tu mikononi mwao? Hapo bado unasema ni Mungu ndo anachagua? You must be out of your nerve
 
Naona unamtetea Iblis Bin Shetan hadi jina umemnyang'anya
Iblis hana ubaya alikuwa anaitwa baba wa kusujudu ila mungu alitaka kumdhihaki na kumdhalilisha mbele ya Adam kumwambia amsujudie wakati iblis ni mwema vitabu vitakatifu vinaonyesha iblis hajawahi kuuwa iblis hajawahi kudhulumu mtu wala hana ushirika wowote zaidi ya kukataaa kumsujudia binadam ambae anamadhambi kIbao kama kuua kudhulumu kusema uongo hata ungekuwa ww utakubali kumsujudia mtu muovu?
 
Maamuzi ni ya Mungu wa mbinguni Siyo Mahera

Mithali 16 33
Wahuni tu ndiyo wanataka kuwatia ujinga Wadanganyika ..... Ilianza kidogo kidogo wakati wa JK kwamba ni chaguo la Mungu, wakati wa JPM ikapamba moto mpaka ikafikia akaitwa Mungu .... naona sasa imekuwa ni sehemu ya kuwabrain wash wapiga kura. Kama ni kweli kwa nini huwa wanahangaika na kampeni na kununua kura!!?
 
Iblis hana ubaya alikuwa anaitwa baba wa kusujudu ila mungu alitaka kumdhihaki na kumdhalilisha mbele ya Adam kumwambia amsujudie wakati iblis ni mwema vitabu vitakatifu vinaonyesha iblis hajawahi kuuwa iblis hajawahi kudhulumu mtu wala hana ushirika wowote zaidi ya kukataaa kumsujudia binadam ambae anamadhambi kIbao kama kuua kudhulumu kusema uongo hata ungekuwa ww utakubali kumsujudia mtu muovu?
Naomba unijibu hapa kidogo, mkuu:
1. Kwa mtazamo wako, Ibilisi ni mwema?

2. Na kwamba Mungu ndiye mwovu (kwa kuwa ^alimlazimisha^ Ibilisi afanye kitu siyo kwa lengo la ^kumdhalilisha^?

3. Kama ndivyo, huo wema Ibilisi aliutoa wapi?
 
Anakumbuka blanket wakati kumeshakucha tayari? Wakati anapora aridhi za wanyonge wasio na hatia hakujua kuwa kuna Mungu ambaye ndiye mtetezi wa wanyonge?
Ni mwizi mkuu huyu! Kumchagua Ruto itathibitisha kuwa Kenya limekuwa taifa la wezi. Huyu ni land grabber na muuaji. Kikuyu mafias wajiandae au wakimbie nchi. Huyu atataka kuweka tabaka la Wakalenjin kwenye tabaka la wezi wenzie.
Jamaa ni mwisho wa maneno kwenye fitna ya kujipatia pochi.
- Huyu ndiye aliyesingizia mahindi ya Tanzania na Uganda yana sumu kuvu(aflatoxin) ili auze mahindi yake aliyolimia huko DRC.
Tz mjiandae na majirani wengine!
 
Back
Top Bottom