Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mungu haibi kuraNaibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni
Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani
Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33
Source Citizen tv