Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
"Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele".
"Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na transition ya amani, Kenya iweze kwenda mbele sisi tunavyopenda".
"Wakati anaenda kupumzika Mungu amsaidie aishi maisha mazuri kwasababu tuko na desturi kama wakenya kwamba kila Rais anayestaafu, basi anastaafu kwa heshima zote na hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa Rais wetu Kenyatta".
"Akatuwa na mahali pake kama kiongozi aliyetusaidia katika taifa letu la Kenya kama Rais, na ataungana na watangulizi wake katika kuwa na pahali pa heshima wanayostahili, kama viongozi wa taifa waliyoiongoza Kenya kufikia hapa tulipo".