Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu toa point tatu ambazo unadhami zitamvusha Raila Kama ulisikiliza proceedingsWewe ni miongoni mwa Watanzania wale wajinga wajinga !
Mtu unaangalia clip wakati wengine siku tatu mfululizo tunafutilia Supreme Court ya Kenya kuhusu Petitions za Raila Odinga & Others na kesho tuko positive kuwa verdict itatoka ya ku- nullify uchaguzi wa Kenya na Ruto hatokuwa tena President Elect.
Mitanzania mijinga jinga sana ndo maana wenzetu wanatudharau sana !
Embu kueni serious basi,, Uhuru awe Si wa mchezo mchezo alafu Ruto awapige ??.
Yaan Uhuru na genge lake lote, wamshindwe Ruto kwenye uchaguzi??. Mpaka wategemee Mahakama ?.
CorrectRuto knows kuwa Uhuru si wa mchezo mchezo. Ruto anakuwa mnafki ili tu aingie ikulu.
Mbona ilishatokea? Au ulikuwa haujazaliwa, tena hii ndio rahisi kuliko iliyopita.Kwa kubuni huwa tuko mbele sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuhusu kesho tuwaachie wao.
Kwa Afrika ni ngumu sana kwa rais aliyeshinda kupokonywa tena ikitokea Kenya basi watakuwa wameizidi Amerika kwa demokrasia...tuwaombee wakubaliane ma hukumu ya kesho bila kujali nani atashinda
Utashangaa sanaPsychological game. Even though the system doesn't want Raila.
Uchaguzi utarudiwaNaona anampa assurance uhuru kuwa hato msumbua akistaafu.
Chunga maneno Yako.. ruto kesho anathibitishwa rasmi..hta ikitokea uchaguz ukaitishwa upya hkna uwezkano wa raila kuwa rais.Wewe ni miongoni mwa Watanzania wale wajinga wajinga !
Mtu unaangalia clip wakati wengine siku tatu mfululizo tunafutilia Supreme Court ya Kenya kuhusu Petitions za Raila Odinga & Others na kesho tuko positive kuwa verdict itatoka ya ku- nullify uchaguzi wa Kenya na Ruto hatokuwa tena President Elect.
Mitanzania mijinga jinga sana ndo maana wenzetu wanatudharau sana !
We huwajui hao jamaa, Uhuru na Ruto ni wahuni hao ,ni wazee wa drama waliokubuhu,yule mzee walimuingiza Chaka tuAnatafuta huruma ya kenyatta.
Kama nani?Anafokaga huyu?
Atakama hakuwanae ila Uhuru hakutaka kabisa Ruto awe Rais! Unaikumbuka kauli ya Lissu 2015? Aliwah sema ni wako tayari ata kushirikiana na shetani alimradi waitoe CCM madalakani.Una uhakika Uhuru alikua Bega Kwa Bega na Odinga?
🤣You name it!!!Kama nani?
Mkuu Ruto Ni rais, hakuna uchaguzi utakuwa nullified!!Wewe ni miongoni mwa Watanzania wale wajinga wajinga !
Mtu unaangalia clip wakati wengine siku tatu mfululizo tunafutilia Supreme Court ya Kenya kuhusu Petitions za Raila Odinga & Others na kesho tuko positive kuwa verdict itatoka ya ku- nullify uchaguzi wa Kenya na Ruto hatokuwa tena President Elect.
Mitanzania mijinga jinga sana ndo maana wenzetu wanatudharau sana !
Mimi ndoto zangu zinasema Ruto Ni rais ila jugde mmoja atajitenga na huo uamuziChu
Chunga maneno Yako.. ruto kesho anathibitishwa rasmi..hta ikitokea uchaguz ukaitishwa upya hkna uwezkano wa raila kuwa rais.
Ndo maaana unaona ruto katangaza ataheshimu maamuz ya mahakama lakn odinga husikii akiongea hivyo.. ye anachoamin ni ushindi tu.
Majaji wa tano wataunga mkono ushindi wa ruto. Wawil watapinga. Huo ndo mkeka wangu. Karibu tubet. Na uache kutukana watanzania wenzio. That is childish
Atafute vip huruma wakati ushahid wa odinga kwa court alipeleka vielelezo fake . Kenyata akitakaa kujuta aletee ujinga keshoAnatafuta huruma ya kenyatta.
Kama umeafuatilia ule ushahid fake mahakamani wa vielelezo kutoka kwa odinga ujue itamcost keshoWewe ni miongoni mwa Watanzania wale wajinga wajinga !