Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

Source Citizen TV
Tukisema bhangi ni mbaya muwe mnatuelewa. Gen Z are motivated by Bhangi and NOT otherwise
 
Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

Source Citizen TV
Hilo "basi" tunangoja litaondoka na nani kati yao kuelekea Garisa kula miraa.
 
Back
Top Bottom