Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

Source Citizen TV
Ha ha ha ha, Mzee Ruto huna namna ishi nao hao maana Kenya ni yao pia.

Unless uamue Kenya sasa itawaliwe kijeshi kwa muda na wewe upumzike. Jtatu 23rd July unao tena.
 
Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

Source Citizen TV
Anajua kuna kitu kinaitwa election, unlike in the past where kura nyingi alizipata kutoka kwa hao Gen Z, basi hao hap gen z watakuwa against him, this time si chama bali gen z wa nchi nzima
 
Hao ndiyo vijana wanaojielewa ; sisi wa kwetu wapo kwa Mzee Magoma na madumu ya petrol.
Kabisa Mkuu, na watu wanawashwa kwa vitu hawajui, ni rahisi sana kuwaongoza watanzania. Huwa wanajiendea kama ng'ombe wa kuswaga.
Ruto anajua nini Gen Z kile wanataka, nayeye bado anataka madaraka hapo ndiyo wanapishana. Waacheni watu watatue matatizo yao yanayowakabili. Nyinyi mtauziwa kila mlichonacho mtaomba hifadhi Kenya.
 
Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

Source Citizen TV

Hawa wa kuombea maana sasa ni kutunishana misuli. Tuwaombee majirani zetu, vijana wakianza kufa kwa wingi ndo shida itaanza hapo.
 
Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

Source Citizen TV
Ila sema kweli wa Mungu Ruto ni kiongozi bora ,mvumilivu na msikivu pia , nafikili G z watakua hawamtendei haki ,ukweli usemwe

Shida naiona ni wenzao walio huriwa kwenye maandamano ya amani , bado kuna jambo Ruto anatakiwa kuliweka sawa kwa hili
 
Ruto kwa nini amewarudisha mawaziri waliopigiwa kilele!! Hata ukiwasikiza tu unajua wanataka nini kwani lazima akutane nao! Mbona mimi naelewa wanachokitaka bila hata kukaa nao yeye ni wapi anashindwa kuelewa??? Ruto naye kumbe msaniii!!
Anataka akutane nao halafu baada ya masaa manne wakutwe wamekufa majalalani.Gen Z wanaijua hiyo!
 
Back
Top Bottom