Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

Source Citizen TV
Wew ruto acha mbembwe uliwapa wananchi option au wao ndo wakupe option

Hichi kiburi watawala hukipata wapi?

Sijui katiba yao inasemaje lakini wananji wakiona hufai wanaweza kukuondoa ofisini 1 day hata kama hujaanza kuiba vizuri

Sasa ruto unawezaje kokoromea wananchi
 
Kabisa Mkuu, na watu wanawashwa kwa vitu hawajui, ni rahisi sana kuwaongoza watanzania. Huwa wanajiendea kama ng'ombe wa kuswaga.
Ruto anajua nini Gen Z kile wanataka, nayeye bado anataka madaraka hapo ndiyo wanapishana. Waacheni watu watatue matatizo yao yanayowakabili. Nyinyi mtauziwa kila mlichonacho mtaomba hifadhi Kenya.
Hao Gen Z wa Kenya wanaotaka kuitia nchi yao kwenye moto ni wajinga.

Namuomba Allah ailinde amani tuliyonayo na awape amani majirani zetu. Sio ujanja kabisa wakenya kurudi katika mauaji ya 2007/2008 au kwenda kwenye hali mbaya zaidi, namuomba Allah awaepushe hilo. Nyinyi mnawasifia lakini madhara yake ni makubwa sana amani ikitoweka.

Ndugu zetu Sudan wanapata shida sana sasa hivi. Ulianza ujinga huu huu wa baadhi ya watu kujifanya makomando wa kutaka kupindua utawala. Tena wengine wakawa wanasifia kabisa kuwa eti maandamano yanaongozwa na wanawake. Waliokuwa wanawasifia wako kimya na wengine huenda wanaponda hali ya Sudan. Ndugu zetu Syria wamepata shida kubwa mwanzo wake ni haya haya, sikuambii Libya na mfano wake.
 
Back
Top Bottom