johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa hilo namuunga mkono RutoWamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii
Source Citizen TV
Tukisema bhangi ni mbaya muwe mnatuelewa. Gen Z are motivated by Bhangi and NOT otherwiseWamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii
Source Citizen TV
Noted with thanksWamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii
Source Citizen TV
Wafinywe kidogoTukisema bhangi ni mbaya muwe mnatuelewa. Gen Z are motivated by Bhangi and otherwise
Kabisa mwanzo niliwaunga mkono hata mimi lakini now wapewe haki yao ikibidi hata kuuliwaHao vijana mwanzoni walikuwa sahihi,lakini kwasasa wameota mapembe wanahitaji KIPIGO kizito.
Safi Dr RutoWamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii
Source Citizen TV
Gen-Z hawana akili, ( they are not organized)Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii
Source Citizen TV
Kwakweli hawaeleweki, ili madai yao yasikilizwe na siku za mbeleni wangekua na msimamo wa vitu wanavyopigania.Hao vijana mwanzoni walikuwa sahihi,lakini kwasasa wameota mapembe wanahitaji KIPIGO kizito.
Hilo "basi" tunangoja litaondoka na nani kati yao kuelekea Garisa kula miraa.Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii
Source Citizen TV
And not otherwiseTukisema bhangi ni mbaya muwe mnatuelewa. Gen Z are motivated by Bhangi and otherwise