Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nakubaliana naye sababu wanataka kumpeleka kama vile hakuna serikali, awashughulikie vizuri ni wapumbavu sn, amevunja baraza la mawaziri, amepunguza budget ya Ikulu, amekataa kusaini mswaada ambao ndiyo chanzo cha maandamano, unataka awabebe mgogoni? huo ni upumbavu lazima serikali isimame imara, hata Raila kasema vizuri.Kwamba amani na madai ya wananchi yanategemea huruma ya viongozi!!
Busara ilikuwa kujiuzuliu ili aachaguliwe kiongozi atakaye wajali wakenya.
Option pekee aliyonayo Ruto itakuwa ni kutumia nguvu ya jeshi, kitu ambacho kinaweza kumletea shida sana kama yatatokea mauaji.