Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

... baada ya vurugu zoote uchumi wa nchi yao umevurugika, sambamba na uchumi wao mmojammoja! ... na wameharibu ajira hata hizo walizoona haziwafai, na sasa KUFA HAWAFI ILA CHA MOTO WATAKIONA!
DAWA NI KURA YAKO, HATA KAMA HAITALETA MABADILIKO, ITATUMA UJUMBE!
 
Sasa basi"
Maana yake kinachofuata ni fimbo za matakoni
Shauri zao
Hakuna Rais anaondoka madarakani kwa kuambiwa
 
Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

View attachment 3047997
This is how President should acts! Congracts Mr presidents….Those bunch of looters and goons are crying now
 
Mtawala akishafanikiwa kuwapumbaza vijana basi atatawala atakavyo.
Taifa mfu ni lile ambalo vijana wake wanafikiria Uchawa na kubeti kama ajira rasmi.
You have an options, uwe chawa wa ccm, kunguni za Chadema, aidha upende kubet, aidha ujibidishe kikazi au kibiashara all is up to you!
 
Kwa hiyo anataka civil war...

Na asipokuwa makini ataipata...
 
Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?

Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii

View attachment 3047997
Yeah! Mama mmoja wa Uingereza enzi hizo (vita ya Falklands) aliwahi kusema "Enough is enough" na baada ya kauli hiyo kilichofuata hapo ni kipondo kitakatifu tena bila huruma.
 
Back
Top Bottom