Ruto rais wa Kenya anafanya sawa kabisa, anajua amejifunza!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.

Anajua kwamba he has get them before they get him …

1690015387547.jpeg
 
Nachukia sana maraisi wanaostaf alafu bado wanang'ang'ania hali ya kujiona kama wanahaki ya kutoa maamuzi au Maelekezo flani kwenye system.
 
naona umetanguliza chuki mkuu. unapoandika mada jitahidi kuficha hisia zako .
Anyway iko hivi ruto anawasiwasi wankupinduliwa na hiyo ni kitu mbaya Sana , kwanza unawafanya watu wakuhisi hujiamini , kwann uende kumsumbua mama wa watu Tena mzee , si ashughurike na Uhuru Kama anamhisi vibaya!? mama Kenyatta ni 1st lady wa taifa la Kenya anaheshima kubwa Sana nchini Kenya , unaanzaje kumkosea heshima !? Kama angekuwa na Jambo angeenda nyumbani kwa mama Kenyatta aongee nae kwa staha .
badala ya kutengeneza , Sasa ndo amezidi kuharibu !! anajichimbia shimo mwenyewe .
 
Nafikiri kama raisi Kenya ana infos nyingi kuhusu hali ya usalama klk mimi na wewe, kuna wengi walipuuuzia hali kama hizo na hawakudili ipasavyo na threats wakaishia kuongea tu majukwaani na kuwaacha wahusika wakiendelea ku plot against them, Ruto anajua anachokifanya na kwa maoni yangu yuko sahihi kabisa, get them before they get you …
 
Nafikiri kama raisi Kenya ana infos nyingi kuhusu hali ya usalam klk mimi na wewe, kuna wengi walipuuuzia hali kama hizo na hawakudili ipasavyo na threats wakaishia kuongea tu majukwaani ma kuwaacha wahusika wakiendelea ku plot against them, Ruto anajua anachokifanya na kwa maoni yangu yuko sahihi kabisa, get them before they get you …
Wameshamget! Wamget Mara ngapi mkuu?hapo subiria kigoma
 
Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.

Anajua kwamba he has get them before they get him …

View attachment 2695936
Na yy Ruto akumbuke hatatawala milele watu wa namna hiyo huwa wanakuwaga na mwisho mbaya na maisha ya mashaka baada ya kustaafu.
 
Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.

Anajua kwamba he has get them before they get him …

View attachment 2695936
Sio kwa wakenya labda ruto angekua prezidaa wa bongo! Kenyatta hajalialia bali amewaambia waz waache kumsumbua mtoto wake wamfuate yeye maan yupo, pia kawaambia haitaji ulinz wao ana pesa ya kuweka ulinz wake!! Kumbuka wakenya hua wanasubir kaul tu ya kiongoz wao then wanakinukisha!!
 
Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.

Anajua kwamba he has get them before they get him …

View attachment 2695936
Kikubwa wasipigane tu nakutuletea wakimbizi huku bongo
 
Ruto hajielewi analeta mambo ya ulokole kwenye kuongoza nchi ana shindwa nini kukaa chini na wapinzani wake na kujenga nchi yao? Kenya baada ya kuona Odinga atamsumbua hakuona shida kummegea keki ya taifa na tuliona mambo yalikuwa shwari.
Anahofu akifanya handshake na Raila ataonekana dhaifu
 
Back
Top Bottom