Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ruto kafanyaje mama Kenyatta!?naona umetanguliza chuki mkuu. unapoandika mada jitahidi kuficha hisia zako .
Anyway iko hivi ruto anawasiwasi wankupinduliwa na hiyo ni kitu mbaya Sana , kwanza unawafanya watu wakuhisi hujiamini , kwann uende kumsumbua mama wa watu Tena mzee , si ashughurike na Uhuru Kama anamhisi vibaya!? mama Kenyatta ni 1st lady wa taifa la Kenya anaheshima kubwa Sana nchini Kenya , unaanzaje kumkosea heshima !? Kama angekuwa na Jambo angeenda nyumbani kwa mama Kenyatta aongee nae kwa staha .
badala ya kutengeneza , Sasa ndo amezidi kuharibu !! anajichimbia shimo mwenyewe .