Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
He has get! Andika kiswahili tu!Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.
Anajua kwamba he has get them before they get him …
View attachment 2695936
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app